KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 94
Kweli Tanzania Tunayo Kazi Kubwa Ya Yaani Unajiingiza Ktk Jf Huku Ukijuwa Kabisa Wewe Ni Kilaza, Hivi Mtu Mwenye Akili Timamu Na Muelewa Anashindwa Kujua Maana Ya Kukopa Na Kuiba? Na Hao Wanaowatuma Muanike Utumbo Wenu Ktk Jf Waambieni Kwanza Wawe Wanajenga Hoja Zenye Maana Kuliko Kutupotezea Muda Wana Jf Makini
Kinacho takiwa Mbowe aitishe press confress aeleze kuhusu tuhuma hizo!lakini kuwanza kuwatumia akina asha kumjibia hapa JF haitamsaidia jambo!maana wengi wa wanacnhi wa wasomi hapa JF au aka chadema forums
Hivi Wewe Kada Mpinzani Ina Maana Hujui Maana Ya Kukopa Na Kuiba? Punguza Njaa Hiyo Itakuuwa
Pole Sana, Ebu Tuambie Wamekuahidi Ngapi Ili Umuuwe Huyo Bwana Mbowe Lakini Naomba Uwe Macho Na Hao Jamaa Maana Wanajulikana Kwa Usanii Unaweza Ukafanikiwa Na Wasikupe Kitu Si Unawafahamu Kwa Usanii Ni No 1, Wakupe Kwanza Advance Bwana Kada Mpinzani.!!
Ulishaambiwa Alikopa Mil 12 Na Tayari Amerudisha 60 Sasa Hapo Huoni Kuwa Tayari Alikwishawaingizia Faida Kokoriko We.!!!
Sasa Huyu Na Huyu Anayechukua Milioni 154 Kila Siku Za Tanesco Unayemtetea Nani Fisadi? Kuwa Na Adabu Wewe Siyo Unatuanikia Utumbo Wako Huku.
TEHE....TEHE....TEHE.....MEJA JIBU HOJA ZA WATU SIO KUTOA MANENO MAKALI.......! NA KAMA UNA HABARI(sio ushahidi)WA KADA KUHONGWA WEKA JAMVINI TUMSHUKIE......!Naomba Kusitisha Kubishana Na Wewe Maana Nitaonekana Ni Kichaa Kubishana Na Mtu Aliyepandikizwa Kwa Kuhongwa Vijisenti Na Hao Wanakulaaniwa