Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,130
- 46
Kada, jamani, amesema, VYAMA VICHACHE VIMEPANDIKIZWA NA CCM, hajasema ni vyote. Kwani nani hajui hilo?
Pili, huyu tusimuite FISADI, bado ni MKOPAJI ALIYECHELEWA KULIPA DENI!
Give the man a break! Its like u r going all out to paint a bad pic
WANAJULIKANA WENZITU WA KILIMANJARO KWA KUTAFUTA HATA ROHO WATU KUZITOA SI TABU.
Dah, chinga kaanza tena suala la wachagga?Haya ni matusi kwetu watu wa Kilimanjaro. Nadhani utaonyesha ustaarabu wako ukituomba radhi!
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!
Kama kuna anayefikiri kuwa jambo hili litawafanya mafisadi waweze kulala usingizi hapo mmekosea sana sana .
Kila wakati kwa mtu mweye akili timamu hawezi kutumia mbinu dhaifu kujaribu kuwanaymazisha watu kudai haki zao za kimsingi.
Mbowe,alikopa 15 milioni ,na kwa mujibu wa sheria zetu huwezi kulipa deni kwa zaidi ya 12 % intertest sasa hao NSSF kama wanatka mkopaji alipe 31%interest wanatumia sheria gani hiyo?
Mbowe alishinda hiyo kesi. ila hao MAFISADI wanajaribu kuitumia hii kama turufu ili waweze kumnyamazisha , kwa taarifa yenu hapa hanyamazi mtu na JK ataendelea kushughulikiwa kisiasa hadi atakapochukua hatua dhidi ya mafisadi wetu.
Kumbukeni kuwa awamu ya kwanza ilikuwa na mafisadi 11 naamini mnajua kuwa hadi sasa ni wanagapi tayari wameanguka , tunaendelea mpaka kieleweke mwaka huu.
IGP juzi kasema yupo tayari kufukuzwa kazi kuliko kulazimishwa kukaa na mafisadi ......thata was a very strong message to JK et al ,...juuu ya kuwahifadhi mafisadi ......
Mkuu Heshima mbele. Tanzania ya leo inflation ni more 15% sasa nikikuposha wewe kwa 12% huoni kama napata hasara kwa -2%. Please naomba tusiquote rate kabla hatujafanya analyisis.
Mbowe sio fisadi. Sema mbowe amearibu public trust, mbowe ni politician yaani public icon, sasa kama public icon anadefault loan jee wananchi wafanye nini?
Jamani ni biashara gani ina down kwa 18 years?
Kada:
Hii habari ni ya mwaka gani? Iweje habari ya miaka kadhaa nyuma utuletee leo? Au ni mkakati tu wa kuchafua?
Si ameweka wazi ni vigumu? Kwani amesema haiwezekani?Na hapa alikuwa akivikosoa vyama kama SAU, NLD nk
Hebu acheni udhulufu! Mmeona suala na NSSF hoja yenu umeshindwa kueleweka sasa mnazua vioja. Na kwa kadiri ninavyowajua CHADEMA, kobe akiinama ujue anatunga sheria.
Ngoja wakina Mbowe, Dr. Slaa, Zitto, Lissu na Profesa Baregu watakapomaliza kutunga sheria; you will all be riduculed kwa kuingia mtego wa fisadi Rostam Aziz na Habari Corruption yake. Hebu fuatilieni kidogo ukweli mahakamani kabla ya kusema; mtaonekana wanamdundiko jamani
Asha
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!
Ndg ZERO Kuna wengine hapa JF Mbowe kwao ni malaika!!Ukitaka kushambuliwa hapa JF mguse Mbowe!!
KWANI HUJUI HATA MODS WENGI NI CHADEMA?
KAMA HUJUI JF NI TAWI LA CHADEMA LINGINE NI KLHNEWS YA MWANAKIJIJI HUYU KANUNULIWA KWA DOLA ELFU MBILI.
ANAJIONGEOPEA KUWA MWANAKIJIJI NI ZAIDI YA BBC.CNN NA MICHUZI. MWANAKIJIJI HAWEZI HATA ROBO KUGUSA UWEZO WA MICHUZI BLOG HUU NI WIFU WA KIJINGA.
MICHUZI MSIKILIZE MWANAKIJIJI KWENYE WWW. MWANAKIJIJI.PODOMATIC .COM KWENYE MJADLA WA WALIOIBA EPA ANASEMA MICHUZI SI LOLOTE.
MWAMBIE ULIPOKUWA KWA BOSI WAKE(MBOWE CLUB) NA BWANA MBOWE AKIPIGA PICHA HAKULIPI. AU ANATAKA NA WEWE UMPELEKE MAHAKANI KAMA NSSF?
MICHUZI WEKA PICHA ZA MBOWE KWENYE BLOG YAKO AKIWA NA JEANS ZA MICHAEL JACKSON HII ITASAIDIA KULETA ADABU KWA MWANAKIJIJI NA WAJINGA WENZAKE WA CHADEMA.LONG LIVE MICHUZI BLOG.
NIMEKUPATA CHINGA ONE .........MBOWE ATALIPA LINI DENI ILI KULETA HESHIMA YA TZ...?Hakuna Tusi Hapo Mkuu Wangu.
KWANI HUJUI HATA MODS WENGI NI CHADEMA?
KAMA HUJUI JF NI TAWI LA CHADEMA LINGINE NI KLHNEWS YA MWANAKIJIJI HUYU KANUNULIWA KWA DOLA ELFU MBILI.
ANAJIONGEOPEA KUWA MWANAKIJIJI NI ZAIDI YA BBC.CNN NA MICHUZI. MWANAKIJIJI HAWEZI HATA ROBO KUGUSA UWEZO WA MICHUZI BLOG HUU NI WIFU WA KIJINGA.
MICHUZI MSIKILIZE MWANAKIJIJI KWENYE WWW. MWANAKIJIJI.PODOMATIC .COM KWENYE MJADLA WA WALIOIBA EPA ANASEMA MICHUZI SI LOLOTE.
MWAMBIE ULIPOKUWA KWA BOSI WAKE(MBOWE CLUB) NA BWANA MBOWE AKIPIGA PICHA HAKULIPI. AU ANATAKA NA WEWE UMPELEKE MAHAKANI KAMA NSSF?
MICHUZI WEKA PICHA ZA MBOWE KWENYE BLOG YAKO AKIWA NA JEANS ZA MICHAEL JACKSON HII ITASAIDIA KULETA ADABU KWA MWANAKIJIJI NA WAJINGA WENZAKE WA CHADEMA.
LONG LIVE MICHUZI BLOG.
kama kweli alisema hivi basi jamaa ni wivu big time tena kwa kwenda mbele, maana JF imefungwa sehemu ya kwanza kukimbilia ilikuwa kwa michuzi, sasa huu unafiki tena anautolea wapi ?? mhm, makubwa haya !
sina muda wa kujibu hoja zako wewe na wenzako wa chadema, maana ni tooo chadematic to handle issues ! upo radhi kuona chadema inashinda na sio tanzania kusonga mbele !
NB. sitojibu hoja zako na za wenzako, so keep out !
waswahili wanasema fadhila mfadhili punda, au tenda wema nenda zako ukingoja shukrani utakuja kuchelewa safari yako. msikilize UTAJUA jamaa ni mtanbo(chizi) kwani hajui MICHUZI yuko mjini pale miaka kibao.
ameshindwa kuelewa kuwa michuzi blog ipo kwa ajili ya jamii NON PROFIT ORGANISATION. bwana Muhidin Issa wa Michuzi anashughuli zake za kumuingia pesa si blog. wakati Mwenzetu anaishi kwa jambo forums na KLH NEWS(NGO) INABIDI AFAHAMISHWA KUWA MICHUZI HAYUKO BUSINESS ORIENTED ASIMUOGOPE.