Je, Kikwete ni mdini?

 
amemjuaje kama ni shoga basi yeye ni basha! shoga huwa anajitangaza mwenyewe na si kutangazwa na mwingine kama afanyavyo mkuu!
huyo kuna mahala nimeona maandishi makuuuuubwa ndo unamsemea au???:teeth:
 
 
Underlined na hao ni WAKRISTO????????????????????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwa mchanganuo huo, katika orodha yako ongezea Shia, Ithnasheri, Imambara, Aga Khan, Sunni, Bohora, Memon.. usiwasahau Sir Guru Singh Sabha. Swaminarayan>>>>>
Toa hoja, lete ushahidi wa kupinga. upimwe ushahidi huo maneno matupu hayasaidii.. Wacheni kukurupuka.... mbele kuna korongo kubwa au hamtaki kuliona???
 


  1. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utawala Bora etc,etc,etc... Nakushukuru kwa kuonesha kuwa jeykey ni mdini,ni mdini kweli kweli. Kumbuka Tanzania ina madhehebu ya dini mengi sana sina kumbuka ya jumla ila ni zaidi ya 25+,kama 32% ya utawala ni dini moja na 68% ni dini zilizobaki si unaona walioiteka nchi ni akina nani? Je hata tukisema iyo 68% ni protestant,TAG ,KATHOLIKI, INDUISM,AGAPE,MWINGIRA,Etc,yani madhehebu atleast 10, tayari 68/10 utapata 6.8% kila dini itakuwa chini ya 32% it means chini ya uislam mara 5 ivi! Kweli jeykey ni mdini! Kumbuka makanisa ya Tz sio moja na utawala wake uko tofauti kabisa kwa iyo mtoa hoja onesha ile dini inayotuumiwa kuwa favoured ina waziri wangapi? Acha kuupotoa umma,jadili kwa umakini zaidi! Lete hoja ya msingi kama ipo tujadili. Jk ni mdini kwa sababu yeye anauona udini nchini Tanzania![/QUOTE]

    Hivi Mkapa na J K Nyerere mabaraza yao ya mawaziri yalikuwaje? yanatofauti yoyote na hili la kikwete? kuna dini fulani imezidi dini nyingine? Au labda tofauti ni kuwa walipewa pesa za walipa kodi wa madhehebu yote wakafaidika na kukejeli madhebu mengine? na tofauti nyingine kina massawe wamebanwa mbavu baada ya kutumia misamaha ya Makanisa kujinufaisha kubanwa na serikali?
 
Teh teh teh teh teh mie napenda kifua chake kama kaficha embe dodo kifuani sipati picha yale mambo yetu yaleeeee
Haswaa! Kwa tangazo lile alilojitolea "yeye amedhani katukana!" ndipo nilipotambua rasmi shuu'li yake. Pia napata shaka sana kama hajajibadili jinsia... nyie mtazameni kwa makini sana nyendo na miondoko yake, msiishie hapo mumtazame pia aiwekavyo midomo yake aongeapo, na ikiwa haitoshi misimamo yake tu. Mtamtambua vilivyo.... wasiomjua wanadhani ni mwenzao! Siku wakimjua.... Teh teh teh!
Tukirudi kwenye mada:
Angalau basi wanaompinga Sokomoko wangelileta hoja na ushahidi angalau uwe kama uzi wa buibui uimara wake! tukaijadili hoja hiyo na ushahidi huo, ni kwa manufaa ya nchi na si watu fulani. Kote ambako watu walijilimbikizia madaraka na nafasi yanayotokea yanaonekana. na kila mdharau mwiba guu huota tende...
 
QUOTE=Sokomoko: hujakuwa explosure

Sijakuelewa maalim unamaanisha nini hapo?

Nadhani alimaanisha MLIPUKO -EXPLOSION si unajua misikitini kwao hujifunza kujitoa mhanga kwa kujilipua!!!
 

Yule ndugu yetu masanilo kafungua thread ya kunishambulia mod wameifunga na kwa bahati mbaya na mie yangu ya ushauri kwa JF na Chadema wameifunga si unajua kaka hata msukumo wa Slaa kukataa matokeo ulianzia hapa JF? Ukweli bwana kama mtoto wa mbwa hata umfiche kwenye box atatoa pua au atabweka. Kushnei na message sent.

Wadau msiipeleke JF kule ipoenda ze utamu shauri yetu tutakuja kutafutana hapa.
 


ZeUtamu na JF nitofauti sana wewe msomi wa Madrasa! nadhani ulikuwa member kule
 
Asante SOKOMOKO. Mara nyingi hawa WAGALATIA wanawafanya waislam kama raia daraja la pili. Wamekula sana nchi hii kwa kuwatumia mawakala wa kanisa waliopo serikalini. JK congrats
 
Asante SOKOMOKO. Mara nyingi hawa WAGALATIA wanawafanya waislam kama raia daraja la pili. Wamekula sana nchi hii kwa kuwatumia mawakala wa kanisa waliopo serikalini. JK congrats

In additional wao ndio walio ua mashirika ya serikali Julius akawa anawahamishahamisha tu akiua huku anapelekwa kule we angalia nani kaifisidi hii nchi utaona. Ila muda umefika tuwekewe fair ground
 
What is udini? sipendi kusikia neno hilo hata kidogo !! tujadili issue siyo dini wewe vipi!!!!!! i smell ban ............wait.............
 
Tuupitie kidogo mkataba ili wenzetu wajenge hoja kuliko kutoa pumba

Sokomoko, hapa JF tuko mazingira magumu. Hatujuani na wala viwango vyetu vya ufahamu havijulikani.

Ukishasema kuna MoU kati ya A&B basi hayo ni yao. Kama ni kati ya Serikali na madhehebu ya kikristu hayo ni yao. Ukitaka waislamu wafaidike na makubaliano kama hayo, ni rahisi. Waislamu waandae MoU kati yao na serikali, PERIOD.

Kama ni kweli Kikwete (unayemuita JK) alizuia uhusiano huo atakuwa ana makosa maana ni uhusiano wa kisheria. MoU siyo makubaliano ya mtaani na kama hakuliona hilo pamoja na uzoefu wake serikalini, nitamuita mjinga asiyetaka kujifunza.

Unachoweza kulaumu hapo ni udhaifu wa ubunifu wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu. Wameshindwa kutumia nafasi yao kuleta maendeleo kwa waamini wao. Nikiwa DSM kila nafasi nyingi za wazi ktk miaka ya 70 sasa hivi imejengwa Misikiti, nasikia ni enzi ya Rais Mwinyi. Kwa nini hapakujengwa Shule, Hospitali/dispensary, nk.?

Miaka hii ya kufukaza ki-maendeleo huna sababu ya kujenga misikiti yenye "malu-malu" bila kujenga shule. Madrasa ziwepo pamoja na shule ya chekechea!

Nyadhifa na madaraka yanahitaji Elimu. Hebu angalia mchango wa Uislamu ktk Elimu yetu. Mfano; angalia idadi ya vyuo Vikuu vya binafsi na useme ni vingapi viko chini ya madhehebu ya Kiislamu. Na je, mafanikio ya vyuo hivyo yakoje? Angalia shule za sekondari zinazomilikiwa na Bakwata zikoje. Hata hivyo hao waislamu matajili walioko mijini na hao waliopewa madaraka wamekusaidia nini wewe kama muislamu? Hata kama itakuwa ni 50-50, bado sioni faraja ya muislamu au mukristu ktk maisha yake kama wewe uliyeko mtaani hutakuwa na elimu ya maana.

Sijui kama maelezo haya yatasaidia lakini ni bora ukawa objective na udiriki hata kulaumu kiongozi wako wa kidini anayeshindwa kuwa mbunifu na kutumia nafasi ya kusikilizwa na serikali aliyonayo kila siku.
 

Wakristo wamewezeshwa kwa kupewa ruzuku serikali ndio maana wameweza kujenga hivyo vyou na hiyo ruzuku ni yavuja jasho na walipa kodi wailam, wakristo na dini zote makubaliano yoyote yenye kuwaumiza watu fulani hayo sio makubaliano ila ni mnyongano unanyonga watu fulani kwenye jamii.
 

Sokomoko, Nimekuomba kwa upole kabisa. Hakuna haja ya kusutana maana tunatafuta ukweli. Mimi nimekubali mjadala huu kwa amani. Hebu fikiria kama hayo uliyoandika ni ukweli, kuna kiongozi wa kiislamu aliyeomba ruzuku akanyimwa? Hata hivyo chuo gani cha 'kikristu' kilijengwa kwa ruzuku ya serikali.

Ninachofahamu kuna Muslim University kule Morogoro. Hiki ni chuo ambacho waislamu hawakuweka hata senti ili kupata majengo hayo. Yalikuwa majengo ya chuo cha TANESCO. Waislamu walipewa bure kabisa tena bila pingamizi. Hapo unasemaje?

Sasa tatizo siyo bure au kununua, eleza mafanikio ya chuo hicho. Kilianza zamani kuliko vyuo vingi vya kikristu lakini leo hii bado kiko chini kabisa ya vyuo na baadhi hata hawajawahi kukisikia. Ukweli waislamu wengi wanasoma vyuo vya madhehebu ya kikristu kuliko chuo hiki ambacho hakitaki hata mukristu aingie hapo kusoma! Au hukusikia kikikataa kuchaguliwa wanafunzi na TCU. Kinachagua chenyewe kwa sifa wanazozifahamu.

Hapo kuna mtu aliyeonewa? Tujaribu kupunguza jazba na dogma. turudi kwenye objectivity. Kosa lao liwe lao na kosa letu liwe letu. Tusihamishe makosa.
 


Hee mwanzoni nilizani unasoma toka kwenye QUR'AN kumbe umekariri toka kwenye madrasa............ebwaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaeeeeeeeeee MADRASA noma....sumu kwenda mbele
 
Sokomoko umeongeza idadi ya posts, sio haba sasa manake naona umeishupalia thread yako hubanduki ili kuiweka hai
 

sio kweli,serikali huwa haiwapi pesa wakristu kujenga vyuo,hizi shule hujengwa kwa michango ya waumini na harambee mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…