Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Nimetazama weeee.... nimesubiri saaana majawabu ili alau nami niambulie tofauti ya mawazo sijapata! lakini baada ya kuzama sana ndani nimegundua kitu kipya kabisa.
Ukweli unapomwingia mtu HUBABAIKA, na baada ya KUBABAIKA hukosa MWELEKEO, na akosapo MWELEKEO hupoteza BUSARA na BUSARA ikishapotea huwa HAJALI. Hapo ndipo matatizo mengi huanza baada ya kutokea AJALI ya AKILI. Sijashangaa kuona badala ya majawabu kumepatikana kitu tofauti. hali ile inatokana na UKWELI ULE. Hali ile inasababishwa na WATU KUWA NA MAZOEA YA KUTAKA KUUFUNIKA UKWELI... Lakini je watu wanataka mpaka ifikie hatua ya WATU KUANZA KUUPIGANIA UHURU UPYA? Hivi kwanini watu hawapendi kuamka na kujifunza kutokana na makosa? Hivi ni kwa sababu ipi watu watake yale wanayoyataka wao tu?
Kuna mtu katoa hoja katika mada hii "ni kwanini waislamu pekee ndio wanalalamika kuonewa?" nna mashaka na kiwango chake cha kumbukumbu pia ananiwazisha kufikiri juu ya kiwango chake cha uelewa!! Mtaniwia radhi kwa kuuliza swali ambalo jawabu lake ndilo jibu la huyo mheshimiwa "HIVI NI KWANINI CHADEMA PEKE YAO NDIO WANAOLALAMIKA KUIBIWA KURA?" akinijibu hapo atakuwa amepata jawabu la upande ule wa pili!:teeth:
Je kwanini hatujiulizi na kupanua fikra zetu? Leo hii watu wamesahau ni kitu gani kilisababisha mzee Malecela asigombee urais, wamesahau ni jina gani alipewa ghafla ili achafuke (ule haukuwa udini!!!):embarrassed: