Ina maana masanilo yeye asitoe maoni yake.masanilo hata kama wewe nimchungaji lakini mwache mwenzio aseme ukweli hili jukwaa la kutoa maoni tena yaukweli nauwazi kama aliyotoa mtoa mada,tusikwepe ukweli,penye ukweli uongo hujitenga,jk hana udini wala habagui,wala hachagui viongozi kwa udini kama mnavompakazia,mnyonge mnyongeni hakiyake mpeni.