Nilikwambia MS huwezi kuficha tabia ila unaweza kuficha jina.Imeandikwa... "Wakujue wewe Mungu wa kweli na wa pekee..." Leo Waislamu wanamuabudu Mungu wa kweli wa pekee na ndio uzima wa milele, sasa je mwenye waungu watatu na mwenye kuabudu Mungu mmoja yupi mwenye aya za shetani? Rudi na ujadili mada tafadhali ukitaka kwenda huko unakotaka hutofika unaweza kupiga ngumi screen yako hapo.
JIBU HOJA... ama ndio kuishiwa tayari
Hoja hazipate wapi!?lets back to TOPIC tunaulizia Je Kikwetwe ni mdini? Masanilo acha usebenda lete fact dont twist the thread. Kama kweli unahoja lete hoja.
Sokomoko naona umeamua kwa makusudi kabisa kuwalisha waislamu wenzako upupu! Hiyo organizational structure inahusikaje na masuala ya udini? Naona unaunderestimate nafasi ya waziri! Umesahau juzi Magufuli kamtimua mtu kazi? Usitafute kulazimisha hoja hata kama ni kwa kusema uwongo, haitakusaidia kitu!
Usitake kukimbia udini umeuleta hapa wewe na JK wako you have to face it.lets back to TOPIC tunaulizia Je Kikwetwe ni mdini? Masanilo acha usebenda lete fact dont twist the thread. Kama kweli unahoja lete hoja.
Nilikwambia MS huwezi kuficha tabia ila unaweza kuficha jina.
Hapo baraza la mitihani kuna waislamu wangapi? na wakristo wangapi? wanateuliwa na nani? je kama majority ni waroma kwanini kikwete asitumie miaka yake kumi kusimika watu wa dini yake? Chadema hawana hoja wameshalishwa kasumba kanisani hapa hata ulete facts vipi hawakuelewi.....
Ndugu yangu SOKOMOKO!! HATALETA REJEA MANENO YANGU YA AWALI, HAWATALETA HOJA KWA SABABU HAWANA, SANA SANA WAKO WANAOIPITA HII MADA KAMA KICHAKA KINACHOWAKA, HAWA WALIOBAKI NDIO KAMA HIVI UNAONA HOJA ZAO, HAZIHUSIKI NA MADA NA MATUSI. HAJA YAO NI KUVURUGA MADA HII ILI IONEKANE HAINA TIJA, NAWAJUA SANA TABIA ZAO, HAWABADILIKI WALA HAWANA DALILI ZA KUBADILIKA. HAWAJUI LINAKUCHWA LINI WALA LINAZAMA LINI BALI WALICHOAMBIWA FULL STOP.lets back to TOPIC tunaulizia Je Kikwetwe ni mdini? Masanilo acha usebenda lete fact dont twist the thread. Kama kweli unahoja lete hoja.
Sijauliza wanawake wa dini fulani wanavaaje nimeuliza je JK ni mdini?
Usiingize itikadi hapa umeanzisha topic ya udini usiwasukumie Chadema wewe tetea udini wako, tafadhali MODS sokomoko mwenyewe kaomba thread yake isiondolewe, tuachieni kidogo hadi aombe tena thread kuondolewa. Udini kauanzisha mwenyewe.Hapo baraza la mitihani kuna waislamu wangapi? na wakristo wangapi? wanateuliwa na nani? je kama majority ni waroma kwanini kikwete asitumie miaka yake kumi kusimika watu wa dini yake? Chadema hawana hoja wameshalishwa kasumba kanisani hapa hata ulete facts vipi hawakuelewi.....
Usitake kukimbia udini umeuleta hapa wewe na JK wako you have to face it.
Nanyi muwe tayari kwa yatakayofuata kwa maana mmaovu ya wakristo yanajulikana dunia nzima. tukianza na Rwanda siendi mbali... Mauaji ya kimbari kanisa lilihusika. Je pia mmesahau kibwetere??? hizo ndizo kazi rasmi za kanisa. sasa mmeanza na Tanzania tumewashtukia hatutapigana wala Kikwete si MDINI. hamna hoja wala sera.:teeth:Usiingize itikadi hapa umeanzisha topic ya udini usiwasukumie Chadema wewe tetea udini wako, tafadhali MODS sokomoko mwenyewe kaomba thread yake isiondolewe, tuachieni kidogo hadi aombe tena thread kuondolewa. Udini kauanzisha mwenyewe.
mwenye hoja kikwete ni mdini alete plz
We enedlea tu ila ujue huyo unaemtukana ni mstahamilivu lakini akikutaka ndani ya dakika 40 tu anakupata waulize wenzio wa ze utamu watakuambia jinsi gani jamaa ana mkono mrefu endelea kijana naona hutaki kuendelea kupost hapa JF.
Jibu hoja kwa facts facts facts facts facts facts facts facts facts facts facts facts I repeat facts facts facts facts facts facts facts facts facts facts facts facts mnapenda sana pumba ndio maana Zitto akiongea facts nyie mnataka aongee pumba kama wale majuha wenzenu wanaotoa pumba.