Je, kesho ndio siku "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,632
Reaction score
134,331
Wanabodi,

Hili ni swali tuu, Jee Kesho Ndio ile siku ya "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM?!.

Hata kama hulijui hili neno, "Mene Mene Tekeli na Peresi!" lina maana gani, au lina maanisha nini!,
Kama umeichoka CCM wewe lisome tuu hili neno na kulitamka, utakuwa umemaliza kazi!.

Neno hili ni mantra au chanting, likitamkwa kwa kurudiwa rudiwa mara nyingi, linakuwa na powers fulani ya kuumba jambo fulani!, rejea

Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Lowasa Ikulu!.

Hili neno "Mene Mene Tekeli na Peresi", lililetwa humu jf kwa mara ya kwanza na mmoja wa Ma Great Thinkers wetu humu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwenye uzi wake huu.
"Mene Mene Tekeli na Peresi"!

Nikisema "Mene Mene CCM!",.... wewe jibu ""Mene.....!".

Nawatakia Uchaguzi mwema.

Pasco
Ufafanuzi.
"Mene mene tekeli na peresi" Ni kauli ya Nabii Daniel akimaanisha "Umeangamia utawala wako kwa kuendekeza anasa." Alikua akimueleza Malme Nebukadreza.
 
12036607_606580216146733_2632573506404975275_n.jpg
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu, Jee Kesho Ndio ile siku ya "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM?!.

Hata kama hulijui hili neno, "Mene Mene Tekeli na Peresi!" lina maana gani, au lina maanisha nini!,
Kama umeichoka CCM wewe lisome tuu hili neno na kulitamka, utakuwa umemaliza kazi!.

Neno hili ni mantra au chanting, likitamkwa kwa kurudiwa rudiwa mara nyingi, linakuwa na powers fulani ya kuumba jambo fulani!, rejea
[h=3]Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Lowasa Ikulu!.
[/h]Hili neno "Mene Mene Tekeli na Peresi", lililetwa humu jf kwa mara ya kwanza na mmoja wa Ma Great Thinkers wetu humu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwenye uzi wake huu.
"Mene Mene Tekeli na Peresi"!

Nikisema "Mene Mene CCM!",.... wewe jibu ""Mene.....!".

Nawatakia Uchaguzi mwema.

Pasco
Mkuu, ungetufafanulia tujue maana yake, kwakweli umetuacha njia panda!
 
Kesho ndio mwisho wa porojo zote, maana 75% ya tuliotembelea jukwaa hili na la uchaguzi tuligeuka wachambuzi mahiri wa siasa hata kama kabla ya hapo hatukufanya hivyo iwe detail tulizipata kwa hisia, maono, ufahamu, historia, kuunga unga na nk.

Kubwa ni kwamba tunahitaji unafuu wa maisha kama zao la siasa safi. Tumesikia mengi sasa ni wakati wa final pilot test.. alone in cockpit chochote utakacho fanya kupitia vote card yako will reflect your tomorrow fate.

Nawatakia Uchaguzi wenye haki na busara ili tuwe na amani.
 
Mkuu Pasco kiongozi wenu hana tofauti na Belshazzar mwana wa Nebuchadnezzar i.e hana morals za kumfikia Darius kwa hiyo Mwenyezi Mungu hawezi kumpa kibali cha kutawala/ongoza BABYLON.

Onyo la kibiblia ulihusu utawala uliopo madarakani bali linatabiri mwisho wa CHADEMA
na Belshazzar wao.

Mkuu Pasco siku ya Ijumaa rudi hapa jamvini tuone kama utarudia tena misemo yako ya kibiblia,nina hakika utakuja umelowa jasho bila ya kuamini kilicho wasibu.Wahaya tuna msemo "EKYOLAGA MKASHO KIJA NANYOKO" yaani ukimtakia kifo mama wako wa kambo anakufa mama yako mzazi,hupo hapo Pasco.
 
Wanabodi,

Hili ni swali tuu, Jee Kesho Ndio ile siku ya "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM?!.

Hata kama hulijui hili neno, "Mene Mene Tekeli na Peresi!" lina maana gani, au lina maanisha nini!,
Kama umeichoka CCM wewe lisome tuu hili neno na kulitamka, utakuwa umemaliza kazi!.

Neno hili ni mantra au chanting, likitamkwa kwa kurudiwa rudiwa mara nyingi, linakuwa na powers fulani ya kuumba jambo fulani!, rejea
[h=3]Wito Kwa Watanzania:Tuitumie Nguvu ya Kauli, Kumuingiza Lowasa Ikulu!.
[/h]Hili neno "Mene Mene Tekeli na Peresi", lililetwa humu jf kwa mara ya kwanza na mmoja wa Ma Great Thinkers wetu humu, Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwenye uzi wake huu.
"Mene Mene Tekeli na Peresi"!

Nikisema "Mene Mene CCM!",.... wewe jibu ""Mene.....!".

Nawatakia Uchaguzi mwema.

Pasco

Rudi kule Itonjanda
 
Mkuu, ungetufafanulia tujue maana yake, kwakweli umetuacha njia panda!
Kwa kifupi maana ya maneno hayo ni kama ifuatavyo:
*MENE - Mungu amekwisha kata shauri kwamba utawala wako umefikia tamati/mwisho.

*TEKEL - Umechunguzwa na Mungu ukaonekana hufai tena kuendelea kutawala/ongoza!

*PERES/PARSIN - Himaya/Utawala wako utapewa watawala wengine wenye uwezo.
 
Back
Top Bottom