Uchaguzi 2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

Tumshukuru Maulana maana mtoto analia kwa adhabu aliyopewa soon atalia zaidi kwa kuondokewa na dady (wa ki psychology)
Wachache sana watakua wamenielewa.
Nimekusoma. Tukazanie Tume huru ya uchaguzi. La sivyo "daddy will remain live ever".
 
Lakini pia ukiwa mbunge,huna hofu ya kuondolewa kama ukiwa mteule hasa wa Magu, hivyo huenda ndio maana wengi wanaona bora wajaribu nafasi za kuchaguliwa achilia mbalii masilahi bora zaidi.

Ila bado nasisitiza,msimuamini Magu katika hili.
Hili namuamini Magu kwa asilimia zote. Kachoka sarakasi za Prince
 
Najiuliza Rais alikua ana maana gani kusema walio zaliwa 1982 wana tamaa sana.

Wajuzi wa nyota leteni ufafanuzi.View attachment 1508269

Alimaanisha hawana adabu kwa wazee

1594890596824.png
 
Bashite .....
Mi naona kabisa koroboi utambi unazama. Magu hanaga mambo ya kiswahili Kwanza Hana Siri akisema hakutaki ,hakutaki kweli, akisema sijakutuma ujue hujatumwa Hana kupapasa papasa mambo.

Kwenye hili makondo hawezi kosa tundikwa dripi za kutosha.
Kweli Magu Hana uswahili... Lile jitu la bara uswahili wa pwani Halina lenyewe linakupa raw and unsugarcoated.

Makonda atapata tabu saana.
 
Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Kwani mskuma ni bashite tu peke yake kwenye serikali? Magufuli licha ya mapungufu yake mengine lakini pia Hana unafiki.
 
Makonda anashinda mapema tu ubunge halafu huyohuyo Magu anampa uwaziri wa mambo ya ndani
Tatizo kauli hizi zilizotolewa, hata kama ni za kinafiki, Zitawachanganya wale wanaofanya Michakato majimboni; Kwamba huenda Muheshimiwa amemaanisha, lakini pia kauli kama hizo zinatrigger wapiga kura kwenye Hlmashauri za CCM wilaya.
 
Picha hii wenye akili tuna kaa kimya mpaka tusikie elowi elowi. Waombaji ni wengi sana ila ccm imetega sehem moja tu na wakichemkamoto utawaka mpaka na nchi ilipuke what is next watu wenye akili wametulia kumshauri mkulu sasa mwisho macho yote kwa John. Kiufupi labda niseme tu yajayo yanafulahisha Wanao jifanya wanamjuwa basi watalia sana mpaka kilio...
 
Inayumnikanaje mtu aache ukuu wa mkoa wa Daresalaa na kuutaka ubunge wa kitongoji cha Kigamboni ?
Nimeshindwa kupata jawabu
Tamaa mbaya.. kataka maslai na kuonja cheo Cha kuchaguliwa alichoka cheo Cha kuteuliwa.
 
Tunaomba mtuache tuliozaliwa 1982 tunasimamia vision zetu. Na wengi our blood group is O huwa hatujali sana kupoteza tulichonacho kwa ajili ya kuwafikishia malengo wengi.
 
Inayumnikanaje mtu aache ukuu wa mkoa wa Daresalaa na kuutaka ubunge wa kitongoji cha Kigamboni ?
Nimeshindwa kupata jawabu
Alijua atatumbuliwa muda si mrefu, bora akatafute rizki kwingine haraka iwezekanavyo
 
Hakukua nahaja kutaja huo mwaka. Wenyewe wanajiona wajanja kwa drama zakitoto kabisa
 
Jiwe unatuchoraaa si nddiooo...jiwe anajikosha tu hao wote wakina mnyeti,makonda Mwanri ni mpango wake wa kando.

Alafu mtu anayemuamini huyu mtu juu ya kauli zake huwa namuoneaga huruma sana.hakuwahi kuwa mkweli kwenye mazungumzo yake

I wonder if heaven gotta a ghetto
 
Back
Top Bottom