Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Hyo itachukuliwa kama sehemu ya likizo, hvo majukumu mepesi ya urais yatakaimishwa kwa makamu wa rais, isipokuwa majukumu na maamzi mazito yataamriwa na rais mwenyewe!
 
Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Mkuu kwani na wewe ulipewa pole?
 
Waja mna mambo😂😂😂😂
 
Siku duniani kote si kuna WFH? Kwa hiyo nadhani nae atafany kazi zake zote nyumbani.
 
Huko EDA mnakotaka kumpeleka rais wetu ndio wapi? kila mtu eda eda, ndio wapi huko?

Mnatutsha na eda yenu hiyo. Katiba inasemaje kwani kuhusu eda hiyo?
 
Miongozo ya eda huwa ipoje? Hebu maulamaa watuwekee hapa jinsi inavyotakiwa ili wengine tujifunze dini ya marafiki zetu
 
Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Eda ni siku ngapi?
Suala la kufa au la kufiwa ni kawada. Mke wa JK naye alifariki lakini uongozi uloendelea kama kawaida. Kama hauna hoja ya msingi haulazimishwi kuandika kitu humu jukwaani
Mke gani wa JK. Alifariki mbona salima yupo
 
Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Ukiwa Eda unaruhusiwa kafanya kazi? Kasome Uislam hujui kitu.
 
Serikali haina dini! Nadhani atapewa siku 14 za likizo ya dharura then atarudi kuendelea na majukumu yake.
 
Back
Top Bottom