Je, Karma ni nadharia halisi na inayoweza kuthibitika katika maisha ya mwanadamu au ni imani ya faraja tu kwa wasio na uwezo waliokata tamaa?

Hakuna kosa la baba analolipia mtoto, hii ni moja ya kutoielewa sheria hiyo

When you die your seed left the body na inakuwa na attachment ulizovuna katika last avatar uliyoleft na kuwa nourished kwa maisha yako yajayo ambayo hutimilizwa na nature selection

Ni kwamba wanaoitwa wazazi kwako ni daraja lililotumika kufikisha mbegu yenye uhai wako kwenye reality ya sasa hata na baadae

Hivyo wazazi sio ishu kubwa kwenye safari za kiroho hata nao wanapambana na yao kwa wakati huu, ila wametumika kukupokea na wewe uishi unayoyastahili

Tena yawezekana mbegu yako ikawa kuu na ya kale kuliko yao, kimwili ukawa mtoto kwao ila kiroho ukawa babu wa babu yao



Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo vizur maelezo yako shule tosha..
 
Back
Top Bottom