Karma ni uwongo uliotengenezwa ili kufariji wale wateswao. Kama Karma ipo na inatenda kazi kwa haki tungemwona Joji Bush (Rais mstaafu wa Marekani) akiwa amepata malipizi ya watu walioliwa kwenye vita kule Iraq hasa watoto na wanawake.
Kama Karma ipo na inafanya kazi tungeona wale Wapalestina wanaowawa na Waisrael wakipewa haki yao na hiyo Karma.
Kama Karma ipo na inafanya kazi tungeona wale Wapalestina wanaowawa na Waisrael wakipewa haki yao na hiyo Karma.