umenena vzr mpz,nimeipendaMkuu hakuna kabila lililo bora dunian;tabia mbaya au nzuri ni ishu binafs wala c matokeo ya kabila.
umenena vzr mpz,nimeipenda
Mimi si mnyakyusa ila usiconclude kuwa wanyakyusa wote ni desparate na kuolewa. Inawezekana dada uliyekutana nae alishaona ana kila dalili ya kudoda hence akajiwekea mkakate wa kukuganda.
Otherwise mimi sielewi mtu akinambia natafuta msichana/mvulana wa kumuoa. Unamtafuta wapi? Ndio maana nashauri watu mnapokuwa college msikazanie vitabu tu, smart people do more than one thing at a time, na wanaweza ku balance. Sasa kama ndio unasoma tu mpaka PhD ndio unakumbuka kuna kuoa ndio hayo ya dada nitamfutie mke.
Mke atafutwi kaka mnaanza kama marafiki bila hata wazo la ndoa baadae wote mnajisikia kuwa you can not leave without one another basi mnaamua kuoana. Sasa nyie mnaotafuta wake kama shilingi sijuhi kama ndoa zenu zitakuwa normal. Maana ni obvious utaja oa stranger, kila siku unagundua tabia mpya ya mwenza wako na ndo ushaoa ufanyeje.
to be honest ingawa tunasema sio muhimu
so far ..
ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhh
au mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhh
au mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh
not necesary......Wadau..Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha.Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo muhimu kuzingatia wakati natafta mwenza.Nawasilisha
yapo makabila watu wake wana common characters hata asome au azaliwe nje ya eneo lakeMkuu hakuna kabila lililo bora dunian;tabia mbaya au nzuri ni ishu binafs wala c matokeo ya kabila.
Haya ni mawazo ya kale mhishimika!, kwamba tabia fulani ni ya kabila fulani ndio inatuponza. Kwa mfano wapo walioamini kuwa wizi ni wa wachaga tu, lakini angalia vibaka wanaokwapua vipochi vya kina mama town au majambazi wanaokamatwa na kuuawa kila siku, ni aghalabu sana kukuta mchaga.mkuu wa machame wanasifika kwa kujali mali tu,no love
wahaya kwa umalaya
wazaramo wana culture ya mafiga matatu,bwana mmoja sokoni.mwingine buchani na mume nyumbani
kabila lina nguvu kwenye utamaduni wa mtu
kusema tudharau makabila ni kujidanganya
huwezi linganisha wachaga na wagogo.....
wahaya na wapemba
au wanyakyusa na wazaramo.......
kuna tofauti kubwa
lakini kama watu hao wote wamezaliwa mfano sinza daresalaam,na wakasoma hapa hapa mjini
na kufika chuo kikuu mfano udsm
utakuta watakuwa kama hawana tofauti sana........
ndio maana nimesema ukikuta wa original wa huko huko
take care
Wabishi kupitiliza.....lolzz!mimi mmanyema, kasoro yangu nini?au ukabila hautuhusu wanaume?
Wabishi kupitiliza.....lolzz!
Hahahhha Mbu unalo!!Boss embu niambie kabila lako na wewe nikuchambue!!lizzy umeniwahi aiseewamanyema tatizo lao hasa wanaume ni wabishi sanana wanajifanya wanajua mnowana gubu na kupenda kukosoa kosoa kutwa
Hahahhha Mbu unalo!!Boss embu niambie kabila lako na wewe nikuchambue!!
Mkuu hakuna kabila lililo bora dunian;tabia mbaya au nzuri ni ishu binafs wala c matokeo ya kabila.