Je kabila la msichana ni muhimu kuzingatia wakati natafuta wakumwoa

Duuh! kwa hiyo unamaana hayo makabila yana nini au ndo unatuaribia soko?
Siku hizi kabila sio ishu, ishu ni tabia ya mtu na mienendo yake.
Kwa hiyo kaka kama unatafuta mchumba usiangaliea kabila kaangalie hulka ya mtu mwenyewe na malezi gani kalelewa.

Asha: Kuhusu kujua malezi mtu kalelewa kidogo ni ngumu sana siku hizi...maaana kwa siye ambao tayari tupo kwenye labour market muda mwingi twatumia kufanya kazi za MWAJIRI na muda kidogo unabaki kwa ajili ya kufanya huo uchunguzi wa maisha mtu alolelewa...na mbaya zaidi mtu kalelewa BUSH mjini hapa alikuja CHUO baada ya Chuo kaajiriwa na ASILI yake ni vigumu kuipata mana yeye ndo reliable source..na mpaka siku wapeleka POSA kijijini ndo waeza kuipata huku ushainvest vya kutosha..I pray MCHINA atengeneze mashine ya kudetect asili na malezi..
 
Okada: Mpaka nawasilisha mada hii kuna jambo limenikuta hapa kati..nilikutana na binti mmoja ambaye nilimpenda sana yeye ni Mnyakyusa..cha kushangaza mara tu nilipomuapproach hata hatujaenda far kwenye mahusiano akanza kunitumia message..Mara oooh dada yangu anataka kukuona, mara mama anakuja week ijayo itabidi ukutane naye, mara kuna shughuli ya kifamilia nami niwepo..YAAANI HAPO TULIKUWA HATUNA HATA WEEK MOJA IN RELATIONSHIP..Mara kwa mara akawa ananitumia message LINI TUNAOANA?????????? Mtu mzima nikajawa na HOFU sana juu ya haya mahusiano...Yaaani maongezi kidogo lazima ataje kuhusu lini twaoana..sasa mie nikawa tofauti kidogo kumjibu akaanza kunipotezea...basi ikaend up kihivyo na relationship ilidumu wik mbili tu..Ni Graduate wa Mzumbe na anafanya kazi Benk moja hapa mjini...NDO MANA NIKAOMBA USHAURI KWA WADAU
Hakuna kabila linalolazimisha ndoa (desperate) bali wapo watu.Huyo dada hakufanya hayo kwasababu ni Mnyakyusa bali kwasababu yeye anaitaka ndoa kiasi kwamba hajali anakujua miaka au wiki.
 
Mi sipo miongoni mwa hayo makabila lkn nipo jirani sana na wahaya kwa bukoba wanaweza kunitofautisha na wahaya lkn kwa huku mikoani watu wanatuita wahaya.
lkn ninachoweza kusema kwa sasa makabila yote naona ni sawa cha kuangalia ni mienendo ya mtu na matendo yake ndicho cha muhimu kuangalia ukifikia maamuzi ya kuoa au kuolewa.

wewe kabila gani?mbona swali soo simple????????
 
to be honest ingawa tunasema sio muhimuso far ..ukikuta wa machame original...mhhhhhhhhhau mhaya wa bukoba kabisa mhhhhhhhhhau mzaramo wa kisamvulechole kabisa mhhhhhhhhhhh
mimi ni mmasai nipokwenye relation na mtoto wa kimachame na ninampango wa kuowa mazee.wanamatatizo gani ili nifanye uchunguz zaid kabla cjamuingza ndani.
 


Asha: Kuhusu kujua malezi mtu kalelewa kidogo ni ngumu sana siku hizi...maaana kwa siye ambao tayari tupo kwenye labour market muda mwingi twatumia kufanya kazi za MWAJIRI na muda kidogo unabaki kwa ajili ya kufanya huo uchunguzi wa maisha mtu alolelewa...na mbaya zaidi mtu kalelewa BUSH mjini hapa alikuja CHUO baada ya Chuo kaajiriwa na ASILI yake ni vigumu kuipata mana yeye ndo reliable source..na mpaka siku wapeleka POSA kijijini ndo waeza kuipata huku ushainvest vya kutosha..I pray MCHINA atengeneze mashine ya kudetect asili na malezi..

Nafikiri kabla hamjafikia maamuzi ya kuoana mtakuwa mmeishachunguzana vya kutosha kama utakuwa karibu nae unaweza kugundua ni malezi gani kalelewa kupitia matendo yake
 
Mimi si mnyakyusa ila usiconclude kuwa wanyakyusa wote ni desparate na kuolewa. Inawezekana dada uliyekutana nae alishaona ana kila dalili ya kudoda hence akajiwekea mkakate wa kukuganda.

Otherwise mimi sielewi mtu akinambia natafuta msichana/mvulana wa kumuoa. Unamtafuta wapi? Ndio maana nashauri watu mnapokuwa college msikazanie vitabu tu, smart people do more than one thing at a time, na wanaweza ku balance. Sasa kama ndio unasoma tu mpaka PhD ndio unakumbuka kuna kuoa ndio hayo ya dada nitamfutie mke.

Mke atafutwi kaka mnaanza kama marafiki bila hata wazo la ndoa baadae wote mnajisikia kuwa you can not leave without one another basi mnaamua kuoana. Sasa nyie mnaotafuta wake kama shilingi sijuhi kama ndoa zenu zitakuwa normal. Maana ni obvious utaja oa stranger, kila siku unagundua tabia mpya ya mwenza wako na ndo ushaoa ufanyeje.
 
Kwa wanavyotusema ehhhh...ngoja nifanye mpango wa kubadili kabila!!
vyeti vya ubatizo wa makabila natoa mimi hapa,waweza hama kwa wamachame ukajipumzisha kwa WAMARANGU,AU WAKISHIMUNDU wakati unatafuta permanent kabila kama vile WAKURYA,AU WAJALUO,.....natoa mimi hapa
 
Back
Top Bottom