Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

 
Dah! We mtu ulipotea humu. Ilibidi nihakikishe hili bandiko lako si la miaka chungu nzima iliyopita. Good to see you again Mkuu.
Nipo mkuu.
Nikipata chance huwa nachangia, ila mara nyingi nimegeuka mtazamaji tu.
Hivi zile JF re-union parties hazipogo tena?
Pamoja sana mkuu.

Mapendo,
TANMO.
 
Sijazisikia tena Mkuu labda hii hali ya uchumi pia imechangia. Haya uwe unazuka mara moja moja nafasi ikiruhusu Mkuu.

Nipo mkuu.
Nikipata chance huwa nachangia, ila mara nyingi nimegeuka mtazamaji tu.
Hivi zile JF re-union parties hazipogo tena?
Pamoja sana mkuu.

Mapendo,
TANMO.
 
Id yako kwa kihehe maana yake "Mnakufa"
 
Id yangu maana yake ni Kompyuta. Nilichagua ID hii ili kuenzi lugha ya Kiswahili hasa ukizingatia majina mengi ya vitu vya kisasa watu wanayatamka kwa kiingereza
 
Mm enzi nasoma seminari ile ikifika muda wa likizo nikienda mtaani, basi wana wananiambia kunae demu mkali kahamia mtaani. (Si unajua waseminari tulvyo na ugwadu)
Sasa kuna kipindi alihamia mwarabu mmoja tajiri mnoo. Alkua na watoto wakike watatu na ni wazurii kupita maelezo. Ukionekana unaongea nae, be ni sifa tosha. Bc bna mkora nmetoka seminari nakumbuka nlkua form four ndo nmemaliza. Bc nkaanza jipendekeza kwao, maana mzee wao alkua mfanyabiashara. Afu naongea English sio ya nchi hii kudadeQ. Bahati nzuri mwarabu mmoja akanielewa. Nkawa naenda nae mazoezini,ananishangilia. Bc maraia wakadai "we jamaa una sumu knoma" Mpk huyu mwarabu umemfanikisha?!! Unae effect kwelii. Braza mmoja kwa uchungu akasema "Hyu k*** ni ma-effect"
Bc ndo jina ikaanzia hapo.
Afu huyo mwarabu hamuezi amini ni mke wa celebrity flani "Mbana Pua"
Maisha haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…