Ningekuwa Rais ningefanya haya. Je, wewe ungefanya yapi?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,455
3,428
Salaaam

Haya ningeyafanya ningeliongiza taifa la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa uchache

1. Ningeondoa mazima feminism ideology.
Yani nchi ingeondoka na mfumo dume mazima, wanawake wangebaki wasubiri tu waone Kaka zao, baba zao, waume zao tunvyoupiga mwingi
Feminism ina athari nying sana katika taifa

Feminism ideology ningeiondoa mazima katika taifa, na wanawake wangepaswa washikilie midomo yao na wajue taifa hili linaongozwa na wanaume, na wanapaswa wasubiri kufurahi na kusheherekea matunda yatakayoletwa na wanaume

2. Kampuni zote za betting zingefungiwa. kwani ki namna yeyote hazina faida kwa taifa zikiwa na hasara nyingi kama
-Vijana hawawazi tena kivip watajikwamua baada ya kushindwa kukwamuliwa (hakuna ajira) badala yake anaamin akipata buku tu ni mtaji tosha wa kubeti
-Betting inatupunguzia mzunguko wa pesa, ikiwa mpaka kampuni imekubali kukaa na kuendelea kulipa kodi juwa inachopata ni zaid kuliko hata hiyo kodi inayofurahiwa na serikal na cha kuhuzunisha zaid pesa hizo zote zinapatika kwa watz wanyonge, maskini

3.Ningepunguza miaka ya kukaa shuleni. Nchi yetu ni maskini na raia wake wananuka umaskini lakini ajabu yake bado vijana ambao ndio nguzo za kuupiga vita umaskini wanamaliza muda mwing shuleni, mtu anamaliza chuo miaka 25 rasmi anaanza kujenga familia hapo ajira kipengele, wengine kutokana age na ajira kipengele anazalisha demu, single mothers wanaongezeka nchi inazidi kudidimia na umaskini
Tuna mifano ya wengi tu huko kutoka nje kawachek umri yao na cv zao, utashangaa shule walipiga lini? Nenda kawachek kina Haaland, Greenwood na wengineo

Muda wa shule kuwa mrefu unawafanya hata vijana kushindwa ku expose vipaji vyao, mtu akimaliza chuo miaka 25 hawez tena kuanza kuahangaika na mpira hata kama alikuwa na kipaji ndo basi tena....

Kulingana na umaskini wa taifa letu, yabidi vijana waanze na haso za life mapema sana at least miaka 20 wawe at least washa graduate ngaz ya shahada

Na mengine mengi, je wew ungebahatika kuliongoza taifa la Tanzania ungeyafanya yapi kwa uchache?
 
Ningekuwa Rais ........…....

Au basi maana hii nchi Kila sehemu imeoza
 
Back
Top Bottom