Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

Azae tu.alete nimsaidie kulea ye akapige buku..
 
Azae tu.alete nimsaidie kulea ye akapige buku..

Haijalishi hadhi ya condom, condom zote zinazuia mimba labda iwe imeexpy, au haikuhifadhiwa vizuri, au hukufuata procedure za utumiaji wa condom, au huyo dada alisex na mtu mwingine bila condom, kwa uzoefu wangu condom haijahi kupasuka hata kwa mchezo wa dk 35 bila bao, na hata bikra condom huwa haipasuki. MSITOE MIMBA!
 
huna akili ya sisi tukupe ushauri wa kuua mtoto ?mshahara wa dhambi ni mauti
 
Sasa anauliza wakati kwa vitendo ameona mwenyewe kwamba imewezekana???????????

Alee hiyo mimba yake na amlee na kumpenda huyo binti kama alivyopenda kumgegeda
 
Wana MMU Eeeeeeeeeeeeeeehhhhhh.
Ebu tujuzane jamaa yangu kalala na binti, binti alikua bikra siku ya tukio kinga ilitumia,,kinga yote ilitapakaa damu..Leo binti kapima kwa vipimo vile vya kawaida kaambiwa hana mimba, kapigwa picha kaambia anayo ina kama wiki 10 ila hawana uhakika na picha kaambiwa aende tena baada ya wiki 1, Je hii inawwezekana pamoja na kinga kutumika?????anataka amshauri binti wa watu aitoe..
Weka maoini yako hapa....Je yote hayo yanawezekana?

duuuuh kavunja kitu ? hongera zake mana hizo kitu ni adimu,
 
huna akili ya sisi tukupe ushauri wa kuua mtoto ?mshahara wa dhambi ni mauti
Mkuu vipi mbona umekua mkali, alafu umeni point as if muhusika!!!duh kwi kwi kwi......nimewakilisha jamaa yuko huko huko Tz.
 
Inawezekana kabisa kupata ujauzito . Unajua hii kinga sio 100% inazuia ujauzito au magonjwa kama HIV. So huyo ndugu ailee tu hiyo mimba asitake kukimbia majukumu kwani yeye alitegemea nini .
 
kwa mfano upo porini, ukawa unafukuzwa na chui, gafla ukaskia mlio wa bunduki, kugeuka nyuma unakuta chui kafa,,,, unahisi utakuwa wewe ndo ulomuua?
Jamaa kafungua alafu after 2months ndio report imekuja kua mambo mabaya, ila hakuna dalili zozte za kusaliti, she is God fearing hakuna mfano.
 
kutoa mimba ni kosa la jinai afu ni dhambi! Kwani chuo wanakataza mabinti wenye mimba? Huyo jamaa yako ajiandae kwa majukumu tu kuanzia ada ya chuo,accmdtn n.k. Kamwambia nani amsaule mtoto wa watu.acheni dhambi kutoa hyo mimba ebo!
Kuipata napo ilikua dhambi....very sad.
 
Hahahaaaaa siri ya Mimba ajuaye ni mweye mimba,
what if binti siku ya pili aliamua kumtunuku mchunga ng'ombe wao?, what if alikuwa akitongozwa na kukataa baada ya kuonjeshwa utamu kaamu awafunulie na wale aliokuwa anawakatalia awali kbl ya kujua ilivyo tamu?

Hii dunia bana si ya kumwamini mtu!
 
Hahahaaaaa siri ya Mimba ajuaye ni mweye mimba,
what if binti siku ya pili aliamua kumtunuku mchunga ng'ombe wao?, what if alikuwa akitongozwa na kukataa baada ya kuonjeshwa utamu kaamu awafunulie na wale aliokuwa anawakatalia awali kbl ya kujua ilivyo tamu?

Hii dunia bana si ya kumwamini mtu!
Hilo nalo neno.
 
Natumaini utakua mteja wangu mzuri sana wa pampas.over
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom