Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

Anauziwa mbuzi kwenye kiroba eeeeeh, ila ishu inasemekana akipiga mahesabu inagonga wiki hizo hizo 10.

Hapo kuna mawili,Kama hakuuza mechi,basi huyo binti alipigwa kavu ndani ya muda huohuo kwa kuwa alishanogewa,hiyo mavitu ikikolea ni noma
 
Pole zake,hiyo kondom itakuwa ilipasuka tu!..

Hivi asilimia ngapi vile hawajui kutumia kondom?....
 
Wana MMU Eeeeeeeeeeeeeeehhhhhh.
Ebu tujuzane jamaa yangu kalala na binti, binti alikua bikra siku ya tukio kinga ilitumia,,kinga yote ilitapakaa damu..Leo binti kapima kwa vipimo vile vya kawaida kaambiwa hana mimba, kapigwa picha kaambia anayo ina kama wiki 10 ila hawana uhakika na picha kaambiwa aende tena baada ya wiki 1, Je hii inawwezekana pamoja na kinga kutumika?????anataka amshauri binti wa watu aitoe..
Weka maoini yako hapa....Je yote hayo yanawezekana?

WANA MMU......
Nachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango na mawazo yenu, Leo hii jamaa yangu amenipigia simu akiwa na furaha kunijulisha kua yule binti hakua na mimba. Kama nilivyoeleza kwenye thread yangu kua huyu binti alipoenda hospitali alipigwa picha nayo ikaonesha kua ana ujauzito wa wiki 10, lakini kila alipokua akipima kwa vipimo vya home alikua negative, so yule doctor wa mwanzo ambaye alimuambia kua ana ujauzito alimshauri arudi tena siku nyingine kuonana na doctor wa wamama maana yeye alikua ni doctor wa kawaida,hivyo alipokuja kumuona doctor wa wazazi aliisoma picha na kusema doctor wa mwanzo alikosea haikua mimba, basi jamaa kashangilia sana na kunipa report....Hakuna cha kinga kupasuka wala nin?

HIVYO NATANGAZA KUIFUNGA THREAD HII......THANKS
:hand::hand::hand::hand::hand:
 
Ngoja nitamuuliza kama ilipasuka ama vipi??Ila mpaka amestuka hivi nahisi huenda ilikua okay

Mkuu, unanichanganya kidogo, huyo binti si alikua Bikra? hana uzoefu so hata ukimuuliza haitasidia, ndio mara yake ya kwanza kugegedwa halafu hayo maswali yako utayajuaje? Well, kwani mkuu kuna kizuizi gani akizaa mtoto? Kwanini utoe mimba? Sikuhizi hata kupata watoto nayo ni bahati, ulimwengu wa full **ndomu hu! Mi nakushauri tu, kama binti anauhakika ni wewe ndiye uliyempa hiyo kitu, tulizana nae tu.
 
Nilisema nitamuuliza uyo jamaa yangu sio binti na mi sio mhusika...Thanks!!!rejea thread yangu ya mwisho...THREAD IMEFUNGWA DOCTOR ALIJICHANGANYA
 
Mkuu, unanichanganya kidogo, huyo binti si alikua Bikra? hana uzoefu so hata ukimuuliza haitasidia, ndio mara yake ya kwanza kugegedwa halafu hayo maswali yako utayajuaje? Well, kwani mkuu kuna kizuizi gani akizaa mtoto? Kwanini utoe mimba? Sikuhizi hata kupata watoto nayo ni bahati, ulimwengu wa full **ndomu hu! Mi nakushauri tu, kama binti anauhakika ni wewe ndiye uliyempa hiyo kitu, tulizana nae tu.
WANA MMU......
Nachukua fursa hii kuwashukuru kwa michango na mawazo yenu, Leo hii jamaa yangu amenipigia simu akiwa na furaha kunijulisha kua yule binti hakua na mimba. Kama nilivyoeleza kwenye thread yangu kua huyu binti alipoenda hospitali alipigwa picha nayo ikaonesha kua ana ujauzito wa wiki 10, lakini kila alipokua akipima kwa vipimo vya home alikua negative, so yule doctor wa mwanzo ambaye alimuambia kua ana ujauzito alimshauri arudi tena siku nyingine kuonana na doctor wa wamama maana yeye alikua ni doctor wa kawaida,hivyo alipokuja kumuona doctor wa wazazi aliisoma picha na kusema doctor wa mwanzo alikosea haikua mimba, basi jamaa kashangilia sana na kunipa report....Hakuna cha kinga kupasuka wala nin?

HIVYO NATANGAZA RASMI KUIFUNGA THREAD HII......THANKS
:hand::hand::hand::hand::hand:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom