Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

Aaaaaaahhh uyo binti sasa, Ye ana tatizo!!!wazazi wamekodoa macho anajiandaa kwenda chuo...wataua mtu

Oh oh oh...msijekuwa mmemmimbisha mdogo wangu aisee...ntaua mtu!!!
 
everything is possible!!!!!!!!!

ila kwanini watoe,mie am totally against Arbotion

nikipata ntazaa tu
 
Binti anajiandaa kuingia chuo first year....wazazi wanafuraha ya post we unafikiri nini kitatokea hapo.

kutoa mimba ni kosa la jinai afu ni dhambi! Kwani chuo wanakataza mabinti wenye mimba? Huyo jamaa yako ajiandae kwa majukumu tu kuanzia ada ya chuo,accmdtn n.k. Kamwambia nani amsaule mtoto wa watu.acheni dhambi kutoa hyo mimba ebo!
 
kwa mfano upo porini, ukawa unafukuzwa na chui, gafla ukaskia mlio wa bunduki, kugeuka nyuma unakuta chui kafa,,,, unahisi utakuwa wewe ndo ulomuua?

da concept yako ya msing sana,ushamaliza CHILUBI,huo msemo baab kubwa
 
kwa mfano upo porini, ukawa unafukuzwa na chui, gafla ukaskia mlio wa bunduki, kugeuka nyuma unakuta chui kafa,,,, unahisi utakuwa wewe ndo ulomuua?
hapo sasa .........ya kuoga huku umevaa koti la mvua
 
Anatoaje bikra na condom...hilo ni kosa la jinai.

Pili unless ulikuwa naye huko ndani dont be sure hayo ya condom na kwamba haikupasuka n all that sh*t...he is just covering his tracks n tryng to avoid majukumu.

Tatu maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge...alee mimba hiyo.

uwezo wako wa kufikiri haupishani na wangu
 
kutoa mimba ni kosa la jinai afu ni dhambi! Kwani chuo wanakataza mabinti wenye mimba? Huyo jamaa yako ajiandae kwa majukumu tu kuanzia ada ya chuo,accmdtn n.k. Kamwambia nani amsaule mtoto wa watu.acheni dhambi kutoa hyo mimba ebo!
Kutoa mimba ni dhambi.....ila hata walichofanya kuipata mimba bado ni dhambi, sa Hawaepuki hiyo dhambi
 
Uyu binti kamaliza Marian,alafu God fearing girl, kwani mdogo wko alimaliza Marian??
God fearing indeed.
Ndio maana anafikiria kutoa mimba sasa!!
Chuo hawakatazi mimba,alee tu na jamaa yako ndio azifunge zikaze sasa ubaba huooo around the corner.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom