Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Yaani jina zuri lisilo na utata/uhuni lisilosumbua kusomeka na lenye spellings ndeefuunamaanisha nn mkuu
Yaani jina zuri lisilo na utata/uhuni lisilosumbua kusomeka na lenye spellings ndeefuunamaanisha nn mkuu
Mfano Michaeltz@outlook.com inafaa?Yaani jina zuri lisilo na utata/uhuni lisilosumbua kusomeka na lenye spellings ndeefu
Ndio ndio kiongoziMfano Michaeltz@outlook.com inafaa?
Poa poa..Ahsantee saana kiongozi nilikuwa Nauliza Nisije kupotea
mbona ziko id za kihuni zaidi ya hizi? aonavyo mtu ndivyo alivyo nafsini mwake.Eti waheshimiwa kuna izi id zinaishia na tz mfano Michaeltz,Tundulissutz, Harmonizetz Je Hizi id kwa lugha na mtizamo rahisi hazina chembe za uhuni ndani yake?
nikiwa na maana kwamba unaeza kutumia Email yako Official ilioishia na tz? mfano Jefftz@outlook.com? je haitoonekana ya kihuni zaidi labda ya kutumia Jeffibunga@outlook.com
anakuwa wa kwanza kujibuWe jamaa unatsha.. hivi kabla mleta uzi hajapost uzi wake anakutumia kwnz wewe?
id kama hii ni utata mtupukwahio Mkuu Jose ukitumia Email mfano Joseetz@outlook,com inaeza kuwa official na ukaichukulia poa?
ile jamii ya siri dunianiWewe unajua maana ya mason