Hata hizo dakika 30 ni nyingi mno! maana ya PM ya kwanza tu, ni Pearl Harbor. Ya pili Chernobyl. Ya tatu Nagasaki. Ya nne Hiroshima !Dear ndio maana nikiuza nataka niuze kwa dakika 30 tu! Yaaan kiasi kwamba yule alo nunua awe overwhelmed kwa atakayoyakuta by the time anataka atulie aanze kuperuz mda unakua umeisha! lol.... My PMs zikiwa disclosed... ni beyond JF...lol... Ni hatari kwa afya ya most members...lol.. Mimi the most.
Wifi, staki hata kukumbuka zile hasira zako, thanks to ur sweetie those days zimepita,lol!
Kakako PAW hawezi kuuza account,manake unajua ni kama Manji amfuate Mengi kununua assets zake, unajua tu anataka kufunga!
Afu ur bro is not that bad banaa, yeye ndo ananiweza na kunipa jeuri manake najua he can protect me however! Even against the mafia mob Lol
It was a legitimate anger Alter. Hata mimi siku ile nilikua sio mimi kwa kweli. The Boss alinikera kuliko maelezo! :ballchain:OMG!!! Alter that is so mean! lol....:frusty:
Dear ndio maana nikiuza nataka niuze kwa dakika 30 tu! Yaaan kiasi kwamba yule alo nunua awe overwhelmed kwa atakayoyakuta by the time anataka atulie aanze kuperuz mda unakua umeisha! lol.... My PMs zikiwa disclosed... ni beyond JF...lol... Ni hatari kwa afya ya most members...lol.. Mimi the most.
Nambie basi kama nilikua close... :second:Hehehehe! Sio kweli, umenoa! Nipe mji.
Ukimpa dada yako kanga unamuomba ngapi? si zawadi tu ya upendo? basi na mimi ndio nimetoa kama hivo. Mtu kama King, AshaDii... siwezi kuwauzia. lolNi hatari, kumbe kuna watu wapo tayari kutoa ID zao bure! Kumbukeni kutuza ID zenu, hiyo ni mali na biashara!
Niuzie basi!
Ni vitu gani vinapandisha hasira yake? leo nataka nimchokoze hadi apigwe Ban, akapumzike weekend! lol
It was a legitimate anger Alter. Hata mimi siku ile nilikua sio mimi kwa kweli. The Boss alinikera kuliko maelezo! :ballchain:
Anty acha hizi bwana, unanipeleka moyo haraka, nakosa raha kabisa. Utani mngine haufai...Una dollari ngapi? Kama huna pesa... naomba tu usisumbuke.....
Sifa ya Account yangu; Mpaka hapa nina PMs 5000 in store.... Tokana na umuhimu wake inanihitaji mda wa kutosha kusort za kufuta na kutunza... Ukitaka evidence nitumie pms sasa hivi, utakuta siwezi kupokea.... Alafu uje hapa unitajie bei.....lol... Na bei iwe ya maaana.
Wifi, unadhani mtu akinunua account yako kitu cha kwanza kabisa anafanya ni nini? Zaidi ya pms?
Uzuri pms zangu kwako zinaji-delete after 3 days, and recently I have been a jelly good gal,lol
Nambie basi kama nilikua close... :second:
Nakupa Venise, city of lovers, city of romance...:violin:
Haya Mwali wewe, ukishaisoma hiyo sredi aliyokuonesha RR, muanzishie uzi sweetie wake uone moto wa kinyamwezi ukoje! Ila ukumbuke kakake AshaDii, ambaye ndo sweetie wangu ni PAW. Naomba uni-pm kabla, na I tell u ban utapata wewe tena ya finger prints manake ya server haitofua dafu!
jf inaanza kufanana na fb!
Anty acha hizi bwana, unanipeleka moyo haraka, nakosa raha kabisa. Utani mngine haufai...
Kama vipi nitafanha kitu kibaya :smash:
Hapo in blue nakubali kabisa wifi King' lol... Sijui nini hasa kimetokea....
Ndo maana naiuza kwa 30 mins.... Mnunuaji awe kwanza over whelmed by the time anataka kuchukua action... too late. Sema kitacho niponza kila kitu kipo in folders.... Folders kama;
- Sweetie
- Wifi Zangu
- Shemeji zangu
- JF Critical cases
- JF Basics and facts..
- JF Gossiips
- N.k....lol
P.S
Hapa nanadi pia wifi.... Si wajua mambo ya Dollari? Pesa ikieleweka nafika bei.....lol
hahahaha..... No body touches my Man to my knowledge wifi....
Nobody! Mwali akifungua thread ahakikishe kua sio JF......lol
Kweli leo nimeamini you have zero marketing skills. Umenikatisha tamaa and you still want me to pay more?U were not even close...lol!
Hiyo choice inaambatana na return ticket and how much shopping money? And u know that city is expensive,plz!
Hapo ningetoa hadi na ya Sweety wako (kaka yangu pia)very close, give me some pocket money and I will give you the last hint. I know it is the last because you are very smart