Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

Hivi matumizi ya risiti za kuandika kwa mkono si yamekatazwa? Kwanini hawakutoa EFD
Iko hivi unapewa paying slip unaenda bank unalipa kisha unarudi na copy ya bank ya malipo unawapa mahakama wanakuandikia hiyo
1583991221523.jpeg


Jr
 
Sitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...

View attachment 1384541

Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Kumbe wewe hujui haya mambo madogo ya kisheria, ukishalipa benki unaleta risiti unaandikiwa risiti ya mahakama ambayo ndiyo legal document, legal receipt kuwa umelipa. Hiyo ndiyo ina legal effect
 
Mkuu Magazine, unahitaji miwani ya macho!.
No!, kaandika vizuri kabisa 30,000,000
Ile mistari miwili ya mwanzo na mwisho ni kuziba nafasi ili figures zisiwe tempered.
P

Paskali; kwa tarakimu kilichoandikwa ni 30,000. Unless huoni kuwa sifuri tatu za mwisho zimekatwa.
Na hata ukipuuza kukatwa kwa hizo sifuri tatu bado kwa tarakimu ni milioni 3 (3,000,000) maana sifuri moja ipo kwenye sehemu ya senti.
 
Mkuu Mag3, then vihiyo tutakuwa wengi!.
Mimi sijaona tatizo lolote na risiti hiyo.
Kwasababu watu tunatofautiana uwezo wa kuona, Mkuu Mag3, please share your observations utusaidie akina sisi tuliotoka ukoo ule wa washamba na malimbukeni, ili nasi kuona kile ulicho kinote..
P
Pesa iliyoandikwa kwa maneno na tarakimu havilingani
 
Unashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.
Msamehe tu inawezekana kati ya hiyo 30m yeye katoa 15m hela inauma ujue, kwa hiyo hata makosa ya kibinadamu hawezi kuyavumilia.
 
No!, ile mistari miwili sio cancel ya zile zero.
P
Mkuu, kiuhasibu hiyo ni elfu 30,000. Kama ingekuwa hundi isingekubalika kufanya malipo. Amount in figures haifanani na amount in words. Hata waliopokea hiyo stakabadhi wamefanya makosa. Ilibidi waikatae.
 
Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?

  • Thread starte
Ndio nini hicho uliachoandika hapo?
 
Mwanza umekuja na swali hili "Thirty millions ni kiasi gani?", nimekujibu vizuri tuu kuwa ni Milioni Thelathini. Naunga mkono hoja, hapa Mkuu Mag3 analeta mambo ya long experience ya uzoefu wa muda mrefu.
P
Pascal Mayalla, kama kwako Thirty Millions ni Milioni Thelathini, je Thirty Million ni kiasi gani?

Je, Huyu karani aliyeandika stakabadhi ya serikali ya Jamhuri ya Tanzania yuko sahihi?
Ndio nini hicho uliachoandika hapo?
NAKWEDE, rudi darasani, usiogope umande...
 
*Anaandika Askofu Benson Bagonza*

Unawezaje kusema tuna judicial independence wakati:

Jana wapinzani walienda kutoa watu wao, Bwana jela akasema yuko kikaoni, wadhaminiwa wakalala. Lakini Polepole alienda bila risiti akapewa mfungwa wake.

Leo wapinzani wamezuiwa kuingia kumpokea Msigwa, lakini Polepole ameruhusiwa kuingia na gari.

Jr
 
No!, ile mistari miwili sio cancel ya zile zero.
P
Wewe ni Mwanasheria/Mwanahabari, mambo ya kihasibu tuachie wenyewe wahasibu. Sifuri zilizoko upande wa Cents zibakie kua ni Cents, Sio number nzima, lakini kosa jingine pia Sifuri zilizokatwa hazihesabiki. Na Mwishowe hatusemi MillionS.

Kimsingi kwa Mhasibu anaejielewa ange cancel tu hii risiti atoe mpya. Ila Sasa ukute hata mhasibu mwenyewe nae kama wewe tu, hajui kua amekosea, anaona iko Sawa.
 
Back
Top Bottom