lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,909
- 3,343
Ndio maana nasema Ni mambo ya kipumbavu kwa sababu hakukuwa na ulazima wa kuweka humu Zaid ya kumuelimisha aliendika hyo stakabadhi
Kuweka humu haitosaidia kumuelimisha huyo aliekosea Jambo jema na busara Ni kumuelemisha hapo hapo alipo na kuchapa mwendo
Kuweka humu Ni kutafuta kiki za kipumbavu tu kwa mtu mmoja kukosea.kwa maana hakuna binadamu aliekamilika hata Mara Moja huo uhasibu nilishaupitia miaka hyo iliyopita na Nina elewa Kuna vitu ukivipa nafas vitapoteza muda wako wa kufikiria mambo ya msingi.
Wakati inaandikwa nadhani mhusika alikuwepo kwann asimwambie kuwa amekosea????
Mpaka anapewa stakabadhi anaiyona imekosewa kwann asiende sehemu husika kwa aliekuwa juu ya alieandika ili iwe cancelled na stakabadhi ilirudishwa mahala pake ikiwa cancelled?????
Kuleta humu Ni unafki na majungu tu
kilicho akilini kitumie
Hakimu Mwandamizi si mtu mdogo...ni mtoa hukumu ambaye maamuzi yake yanaweza kumtia ndani si Mbunge tu wa kuchaguliwa bali na Mkuu wa Upinzani kwenye Bunge letu tukufu.Mjinga anaetoa fedha, million thelathini, anapewa stakabadhi ambayo Kwa muono wako wewe ambae upo sahihi unaiona ni shillingi ngapi zimepokelewa? Au mimi ambae naona imepokelewa hundi ya million thelathini ndiye sipo sahihi?
Hapo sasa!
Mkuu Mag3, asante kwa kurejea, bandiko hili hadi limewaibua wagonjwa wa macho bila kujijua.Namuomba anayejua anielimishe ni shilingi ngapi zimeandikwa kwa tarakimu kwenye risiti na pia anijuze kwa maneno Thirty millions only ni kiasi gani?
View attachment 1384954
Pascal Mayalla, nadhani mimi na wewe tuko sayari mbalimbali...unachojibu na ninachouliza ni kama mbingu na Ardhi kwa zilivyopishana! Sijauliza Thirty millions ni kitu gani, nimeuliza Thirty millions ni kiasi gani? Haijalishi kama ni hela ya Tanzania, Ugagagigikoko au vitumbua, Thirty millions ni kiasi gani?Mkuu Mag3, asante kwa kurejea, bandiko hili hadi limewaibua wagonjwa wa macho bila kujijua.
Katika nchi inayotumia local currency unaweza kutaja tuu kiasi cha fedha bila kuandika jina la fedha hiyo na ukawa right.
Hivyo Thirty millions only ni Shilingi milionin thelathini na haina tatizo lolote, mimi mwenyewe for local transactions, na issue hundi nimeiandika just that "One Million Only" or "Ten Millions Only" bila kuweka prefix ya TZS, or suffix ya Shillings and it gets through. Hakuna tatizo lolote hapo.
P
Ninaamini kuwa hiyo list haibadilishi wala haiweki doa au shaka yoyote kwenye accounting factsAmeacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo
Mkuu Mag3, ndio maana tangu mwanzo nimesema hakuna tatizo, na kukuuliza wewe mwenzetu ume note nini?.Pascal Mayalla, nadhani mimi na wewe tuko sayari mbalimbali...unachojibu na ninachouliza ni kama mbingu na Ardhi kama zilivyopishana! Sijauliza Thirty millions ni kitu gani, nimeuliza Thirty millions ni kiasi gani? Haijalishi kama ni hela ya Tanzania, Ugagagigikoko au vitumbua, Thirty millions ni kiasi gani?
Pili, hizo tarakimu, kama zinavyosomeka, ni kiasi gani?
Mkuu Mag3, asante kwa kurejea, bandiko hili hadi limewaibua wagonjwa wa macho bila kujijua.
Katika nchi inayotumia local currency unaweza kutaja tuu kiasi cha fedha bila kuandika jina la fedha hiyo na ukawa right.
Hivyo Thirty millions only ni Shilingi milionin thelathini na haina tatizo lolote, mimi mwenyewe for local transactions, na issue hundi nimeiandika just that "One Million Only" or "Ten Millions Only" bila kuweka prefix ya TZS, or suffix ya Shillings and it gets through. Hakuna tatizo lolote hapo.
P
Mzee, huoni kuwa list imeshasema ni shilingi ngapi? Unataka kuleta ya mambo ya Green vest ya kijani, au shule ya sekondari ya wasichana ya Songea Girls Sceondary School? mambo ya makarani waachie makaraniPascal Mayalla, nadhani mimi na wewe tuko sayari mbalimbali...unachojibu na ninachouliza ni kama mbingu na Ardhi kwa zilivyopishana! Sijauliza Thirty millions ni kitu gani, nimeuliza Thirty millions ni kiasi gani? Haijalishi kama ni hela ya Tanzania, Ugagagigikoko au vitumbua, Thirty millions ni kiasi gani?
Pili, hizo tarakimu, kama zinavyosomeka, ni kiasi gani? Kwa nini hakuandika tu milioni thelathini ambayo kwa tarakimu ni 30,000,000?
Naunga mkono hoja, hapa Mkuu Mag3 analeta mambo ya long experience ya uzoefu wa muda mrefu.Mzee, huoni kuwa list imeshasema ni shilingi ngapi? Unataka kuleta ya mambo ya Green vest ya kijani, au shule ya sekondari ya wasichana ya Songea Girls Sceondary School? mambo ya makarani waachie makarani
Ni kama taasisi nyingine za serikali zinavyokusanya mapato e.g polisiSamahani wakuu, naomba kuelimishwa hivi hizi pesa za faini kwenye makosa ya jinai hua zingia kwenye mfuko upi wa sirikali?
Hahahhh Paskali buanaMkuu Mag3, then vihiyo tutakuwa wengi!.
Mimi sijaona tatizo lolote na risiti hiyo.
Kwasababu watu tunatofautiana uwezo wa kuona, Mkuu Mag3, please share your observations utusaidie akina sisi tuliotoka ukoo ule wa washamba na malimbukeni, ili nasi kuona kile ulicho kinote..
P
Watu watakushambulia bure na kuleta utetezi kuwa hata hapa JF watu wanakosea lakini hapo ni mahakamani na huyo ni mwajiriwa.. Kama kuna mahali watu wanatakiwa kuwa majini basi ni kwenye sheria na mahakamani kwakuwa kosa moja dogo kabisa la kisarufi ama nukta linaweza kutoa hukumu batiliSitaeleza mengi ila nitaachia picha iongee...
View attachment 1384541
Kinachohuzunisha na kusikitisha ni kwamba hii risiti imetolewa ofisini kwa Hakimu Mkazi Mwandamizi, Kisutu.
Aliyepewa hiyo risiti, baada ya kulipa shilllingi ngapi vile? Ni hakimu?Hakimu Mwandamizi si mtu mdogo...ni mtoa hukumu ambaye maamuzi yake yanaweza kumtia ndani si Mbunge tu wa kuchaguliwa bali na Mkuu wa Upinzani kwenye Bunge letu tukufu.
Hii si mara ya kwanza...huko nyuma tumewahi kuona vituko vinavyofanana na hata kuzidi hiki cha karani katika ofisi ya Hakimu Mwandamizi.
View attachment 1384920
FaizaFoxy, hapo sasa!
Aliyeanzisha thread ni mimi Mag3 na kwa kweli majibu yanayotolewa humu yanashangaza, yanasikitisha na yanaudhi! Namuomba anayejua anielimishe ni shilingi ngapi zimeandikwa kwa tarakimu kwenye risiti na pia anijuze kwa maneno Thirty millions only ni kiasi gani?
View attachment 1384954
Kwa mambo ya fedha siasa tuweke pembeni jamani...kwanza mimi si mwana Chadema ingawa ni kweli siungi mkono utawala wa kiimla tulio nao. Pili, niliuliza hilo swali kwa nia njema tu na sio kwa kebehi kama inavyojaribu kukuzwa na baadhi ya wachangiaji.
Hakuna mahali panahitaji umakini kama ofisi ya karani mpokea fedha, kosa dogo tu linaweza kuzua taharuki na kuleta mtafaruku katika jamii. Kutokuwa makini kumechangia sana katika kuchagua hovyo watu wa hovyo na kuwakabidhi hovyo madaraka yanayowazidi kimo.
Ushauri kwa limbukeni na washamba, acheni kung'ang'ania lugha msizozijua, mtatuuza! Kwa mtindo huu, hatufiki...
.
Siyo kila kitu cha kukimbilia kulaumu au kushambuliana. Mengine muwe mnayaacha yapite, maadam hayana madhara basi yatajirekebisha yenyewe tu.
ni kule kwenye namba inaonekana kama ni 30,000 na si 30,000,000 Auditors watakua wanaelewaUnashangaa nini? Afadhali ya huyo mwandishi alifanya kosa la kuongeza herufi S baada ya mllion. lugha hiyo ni ya kigeni. Wengi wenu humu ndani hata kiswahili hamkijui vizuri na mnaboronga kila siku.
Ila nahisi ndio maana kuna kuandika kwa maneno na kwa namba, ili kupunguza utata.Ameacha nafasi kibao za digits mbele ya 30,000,000 akaandika kwa kubania hadi kwenye sehemu ya cents. Digits zote za 30,000,000 zingeweza kuenea kama angetumia umakini kidogo