UchiHuyo Temu kafanya nini? Ndio kamlaghai hadi kutoa siri?
Akitolewa hana tena access ya taarifa za ofisi husika labda kama alibeba hardcopy, hata mtangulizi wake alitolewa kabla hajastaafu.Idara ya usalama wa nchi ndio ina jukumu la kulinda mkoba/mikoba yote inayohusika na 'siri' za nchi! Anapitokea mtu hata kwa nafasi yake kubwa ya kiuongozi akafanikiwa kupenya, kudukua na kuondoka na kabrasha lolote lenye habari nyeti za taifa bila DG kupata taarifa ama kuchukua hatua, huyo ndiye mwajibikaji no 1...!
Mkuu mshana taifa letu lina siri gani ya kutunza? Kwani tuna Biochemical laboratories? Nuclear files etc. Tusiwaonee kina Diwan na Hoyce. Nampenda sana Diwani ni mtu wa ibada sana.Kuna reshuffle imefanyika kwenye idara ya usalama, kwa macho ya kawaida inaweza kuonekana hili ni la kawaida, lakini kumbadili DG wa usalama si jambo dogo hata kidogo! Seniors wengine wanaweza kubadilishwa muda wowote wakizingua lakini sio kwa DG...
Zipo nyingi sana Mufti Lion na mada imekuja kwa mtindo wa hojajiMkuu mshana taifa letu lina siri gani ya kutunza? Kwani tuna Biochemical laboratories? Nuclear files etc. Tusiwaonee kina Diwan na Hoyce. Nampenda sana Diwani ni mtu wa ibada sana.
Mr Q
Yaani Kuna watu wamepewa ubalozi bila mantiki yytZipo nyingi sana Mufti Lion na mada imekuja kwa mtindo wa hojaji
Hoyce Temu alikuwa kondakta wa Fresh ya Shamba Dar - Arusha baada ya kumaliza Kidato cha sita pale Zanaki GirlsHaya ndiyo mambo ya kupeana vyeo,
Unampa mtu ubalozi tena uswiz,unampa mtu cheo ambacho hana hata uzoefu wa mambo ya kidiplomasia
Hii ndiyo shida ya kupeana vyeo kujuana ....
Ova
Kutoka kuwa konda Hadi ubalozi uswissHoyce Temu alikuwa kondakta wa Fresh ya Shamba Dar - Arusha baada ya kumaliza Kidato cha sita pale Zanaki Girls