BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,346
- 6,855
Mkuu Tanganyika ndo the land we belong!
Mada imesema wajibu watu wenye Kaliba ya pole pole , Sasa mbona unapendekeza mavitu ya Kina Mwijaku na Stivu hopeless hao na ni watu wasiokuwa na future yoyote wala purppse?Duh。。。!, ,hoja zote zitajibiwa,tuamuaanda Stivu, Mwijaku na Baba Levo wanamtosha,viongozi wetu wako bize na jambo letu lile,hawana time ya kujibishana na watu wa mitandaoni!, ila kwa hadhi yako na heshima humu,hoja ni za sana,ila picha ondoa!watu wengine tuko very sensitive,ukiangalia picha za vitu fulani,unasikia mpaka harufu!,tutashindwa kupiga Breakfast。
Nakuomba please!
P
Ili kufanyike mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm, lazima kwanza kutokee chama mbadala wa CCM, ndipo CCM, ipumzishwe kwa amani, mahesabu yangu ni Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
Ili kufanyike mageuzi makubwa kisiasa na kimfumo yatakayoipumzisha ccm, lazima kwanza kutokee chama mbadala wa CCM, ndipo CCM, ipumzishwe kwa amani, mahesabu yangu ni Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
Sio Chiembe majina ya watu wa Ibo huko Nigeria.Na akina chuembe waje wajibu
Duh。。。!, ,hoja zote zitajibiwa,tuamuaanda Stivu, Mwijaku na Baba Levo wanamtosha,viongozi wetu wako bize na jambo letu lile,hawana time ya kujibishana na watu wa mitandaoni!, ila kwa hadhi yako na heshima humu,hoja ni za sana,ila picha ondoa!watu wengine tuko very sensitive,ukiangalia picha za vitu fulani,unasikia mpaka harufu!,tutashindwa kupiga Breakfast。
Nakuomba please!nime
Nimebubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kusikia eti ukiona sura ya polepole utashindwa kunywa chai nikuulize Mzee wangu kwa kauli hii hiviDuh。。。!, ,hoja zote zitajibiwa,tuamuaanda Stivu, Mwijaku na Baba Levo wanamtosha,viongozi wetu wako bize na jambo letu lile,hawana time ya kujibishana na watu wa mitandaoni!, ila kwa hadhi yako na heshima humu,hoja ni za sana,ila picha ondoa!watu wengine tuko very sensitive,ukiangalia picha za vitu fulani,unasikia mpaka harufu!,tutashindwa kupiga Breakfast。
Nakuomba please!
P
Huyu ni Kada mwenzio and a respeful GuyNimebubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kusikia eti ukiona sura ya polepole utashindwa kunywa chai nikuulize Mzee wangu kwa kauli hii hivi
HUNA MARINDA KWELI?
Pole pole yupo kwa maslahi ya watanzania wote huyu yupo kutetea tumbo lakeHuyu ni Kada mwenzio and a respeful Guy
Mbona unamtusi, I expected u msapoti
Huyu ni Kada mwenzio and a respeful Guy
Mbona unamtusi, I expected u msapoti
Dah is this LUCAS or hacked ? Mmmh lucas H Mwashambwa nimesoma your name two times, isije kuwa mtu anatumia jina lako fakePole pole yupo kwa maslahi ya watanzania wote huyu yupo kutetea tumbo lake
Muda mwingine tusimame na ukweli nadhani we mwenyewe unanifahamu jinsi Gani nimevyokuwa nakipambania chama humu jukwaani lakini ndo hivyo nimesalitiwa na wajumbe na chama kwa ujumla
Jana Pole pole ameingia sehemu ya tatu ya mafunuo yake ya ccm kwa wananchi wa Tanganyika.. Ni wazi kabisa anainyonga ccm kikatili mno... Na hii ndio faraja ya Watanganyika...
Kisu kimekaribia kabisa mfupa .. Na katika hatua hii muhimu ametoa muda ajibiwe kwa weledi na viongozi wa kaliba yake na si "ma laymen" na watu wasiohusika na siasa.
Hizi ndio hoja zake kwa ufupi. Ambazo kama zitafanyiwa kazi vema.. Hatatoa sehemu ya mwisho ya funuo lake ambalo linaweza kuwa kata funua na pigo la mwisho kwa CCM.
1. Wahuni bado wapo( Sana mtandao waliofanikisha ushindi wa JK)
2. Taratibu za kuwapata wagombea katika ngazi zote zimekiukwa (kwa nguvu ya mtandao/wahuni)
3. Rais anahujumiwa.. Pengine hajui na kama anajua kwanini hachukui hatua. Wanaomhujumu ni wana mtandao
4. Rais amezungukwa na wahuni (Sana mtandao)
5. Rais amekuwa "mpole Sana" kuchukua hatua (kwa tafsiri nyingine amekuwa dhaifu) mbele ya wanamtandao (wahuni)
Sehemu hii ya tatu imegusa zaidi kuufahamisha uma wa Tanganyika wahuni ni akina nani.. Kwamba aliowaita wahuni siku zote ni kundi la wanamtandao wa 2010.
Hilo sio kundi la kubeza hata kidogo maana lina ukwasi wa kueleweka
Lina connection ya biashara kubwakubwa kitaifa na kimataifa.
Limeshikilia sehemu muhimu za rasilimali za Tanganyika. Ndio linahusika/limehusika kuuza/kugawa rasilimali za Tanganyika. Lina mitandao ya watu kila eneo nyeti na muhimu nknk
Sasa; je, ukiachana na malengo ya muda mrefu ya kundi hili la kuiteka mazima Tanganyika na kuwa mikononi mwao.. Je, mkandarasi mkuu ni nani? Wajumbe ni akina nani? Wafaidikaji ni akina nani?
Ukisoma riwaya ya Nick Carter ya SLAVE MASTER utaona wazi mbinu zilizotumiwa na makundi ya kimafia kuwaweka viongozi madarakani kwa faida zao binafsi ndio ambazo zinatumiwa na wanamtanfao/wahuni Tanganyika
Wanakuwezesha tangu chini mpaka juu unashika madaraka muhimu ama nafasi nyeti kisha wanaanza kukutumia. Ukijaribu kuwapinga wanakuletea sehemu tu ya mafaili yako tenge unaufyata.
Pole pole anawajua vema na bila backup kubwa na yenye nguvu nyuma yake asingeweza kufika jana!
Kuutaja mtandao (wahuni) na kutoa rai ya kujibiwa ni maandalizi ya kuufumua mtandao wote sasa.. Maana kuna majina ameshaanza kuyagusia.
Jana Mara baada tu ya hotuba yake kuna anayetajwa kama mkandarasi mkuu wa wana mtandao akajitokeza "kumjibu" Polepole kwa vijembe! Alishindwa kabisa kuvumilia .. Sasa ni rasmi keshaingia kwenye mfumo wa Half ray!
Key players wanaoweza kusikika sana wiki hii:
Mzee Butiku
JK
Mzee Warioba
RA
Je hoja zitajibiwa kwa weledi? Before it is too late!? Its a race against time!
View: https://youtube.com/shorts/iTyWE1OqHlI?si=QAZxzBoPopbbIqGc