Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 176
- 62
Kaka mkubwa nakuandikia usiku wa Leo.
Umetumikia Taifa sana ngazi zote mpaka ubalozi huko Cuba na Nchi za carribiane.
Umechelewa sana kufanya maamzi kaka mkubwa,Leo unashindana na Wana mtandao ambao tayari wana
mizizi nchi nzima.
Unawezaje kushinda hii nguvu ya wahuni na ukawa Salama kaka polepole.
Tunaogoa kutekwa sisi na familia zetu.Kama unaweza kutulinda tuambie haraka na tutaambatana nawe.
Tuungane kujenga nchi yetu pendwa,Tanganyika kwanza,Tanganyika kwa watanganyika .