Namblock saivi π€£π€£Ushaishaaaa
Kibra ileeeee π€£π€£π€£
Msisitizo ni ule ule.. sema yanaweza kuwa vice versa, na vice versa yaweza kuwa +\-
Nasikia harufu ya kutoweza πππNamblock saivi π€£π€£
Kabisa my love(in hakika Rubenβs voice)Kabisa tunatamaniana then kupendana kunakuja badae
Kibungo si unipe moyo jamaniππNasikia harufu ya kutoweza πππ
Usidhani roho ngumu na ukorofi kila mtu anaweza
Hujambo binti mrembo sophy27....wasalimie hapo MbingaKumbe watu mnapendana humu na hamtuambii jamni[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio niseme hadharani ili mkamwambie π€£π€£π€£Kibungo si unipe moyo jamaniππ
Huyo wako ni nani, em nimjue nicheke hapa saivi
Nina bahati ya mtende BL. Mama E is 99.99% perfect wallahi! Kuanzia umbo mpaka tabia. Acheni Mungu Aitwe Mungu jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Heko kwa mama E!! [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
It feels weird??π€¦ββοΈ
Ujasiri wa hali ya juuNdio niseme hadharani ili mkamwambie π€£π€£π€£
Hayo mambo hayahitaji moyo, hayo mambo yanataka ujasiri..
Wauweeeehhhhh!! Hadi mtu mzima umekiriiii lol!! Mpe hongera zakeeee Msukumaaa!!Nina bahati ya mtende BL. She is 99.99% perfect wallahi! Kuanzia umbo mpaka tabia. Acheni Mungu Aitwe Mungu jamani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aliniteka zamaniUjasiri wa hali ya juu
Nipigie basi uniambie, nina hamu ya kumjua huyo kijana aliyemteka kibungo
Kwahyo ulimtumia kihisia kijana wa watu ukamteka, dada una roho mbaya weweAliniteka zamani
Sio sasa
Na kwangu yalishaishaaa
π€£
Hajui chochote etiKwahyo ulimtumia kihisia kijana wa watu ukamteka, dada una roho mbaya wewe
Ulipata tabu sana, si ungejipeleka pm ukamsalimia πHajui chochote eti
Nilistruggle mwenyewe mpaka zikakata
AsubutuuuuUlipata tabu sana, si ungejipeleka pm ukamsalimia π
Nimecheka kwa sauti π€£π€£π€£Nafuatilia kwa makiniiiππππππ€£π€£!
Helloowww wana selfika βπ