Huyo kawowa simtaki [emoji23][emoji2957][emoji2957] Kwenye jina lake kuna alphabet ya 5 eeeh
Ungeacha akuelewe sana yeye, hao watu tukianza kuwaelewa sie wanaanza na mashauzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji119]
YesIla unaye mpenda mtu humu ni Sophie na even salt hao ukiwasikia na Kelsea wewe unaweweseka
Alphabet ya 5 wako wawiliHuyo kawowa simtaki [emoji23]
Mkuu upo kitambo sanaaa...Kumpenda sio kweli ila kumtamani yes ni kweli.
Kumpenda mtu kumebeba vitu vingi mno ikiwa ni pamoja na kuvumiliana katika baadhi ya mapungufu.
Evelyn Salt ni mkongwe mwenzangu, mamaa ya Kimara zama zile.Ila unaye mpenda mtu humu ni Sophie na even salt hao ukiwasikia na Kelsea wewe unaweweseka
Watu wanatamaniana sana humu 🤣🤣🤸Kumbe watu mnapendana humu na hamtuambii jamni😂😂😂
Nipo mkuu..Mkuu upo kitambo sanaaa...
by chako chake🙌🏻
Hongeraaa sanaaaa msukumaaa !!Na miaka yangu 76 hii mapenzi ya kweli nimekuja kuyaonja kwa binti niliyekutana naye hapa JF.
Mungu Ambariki sana aliyeanzisha JF hii wallahi!
Thanks for loving me Mama E...We are going places baby girl [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2419434
Uwiiii nani huyo [emoji1787] mwambie nashukuru kunikubali [emoji7].Alphabet ya 5 wako wawili
Mmoja anakukubali sana [emoji23] alinambia
Sema wote wamewowaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnyakyusa wa Mbeya huyo
[emoji23][emoji23]Kumbe watu mnapendana humu na hamtuambii jamni[emoji23][emoji23][emoji23]
nilitaka niulize swali hivi;Kumpenda sio kweli ila kumtamani yes ni kweli.
Kumpenda mtu kumebeba vitu vingi mno ikiwa ni pamoja na kuvumiliana katika baadhi ya mapungufu.
Mbona wewe hutuambii na buji bujiKumbe watu mnapendana humu na hamtuambii jamni😂😂😂
Yupooo 😍😍Uwiiii nani huyo [emoji1787] mwambie nashukuru kunikubali [emoji7].
nilitaka niulize swali hivi;Kumpenda sio kweli ila kumtamani yes ni kweli.
Kumpenda mtu kumebeba vitu vingi mno ikiwa ni pamoja na kuvumiliana katika baadhi ya mapungufu.
Kumbe mbona wanajificha ficha Sasa😂😂Watu wanatamaniana sana humu 🤣🤣🤸