Je, hili limewahi kukutokea?

Kuna mtu mwingine alisemaga alimuona mtu hapa ndani ana ID ya kiume, ila kwenye daladala alikuwa wa Kike πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapo wengi mno humu. Hata sijui hasa nia yao nini. Kama huyo msela hakuwahi hata kuomba hela kusema ni tamaa ama tapeli. na nilipokutana nae ni mshkaji mwenye maisha yake fresh tu sasa sijui ni punga au kuna kiki fulani anapata akitongozwa na midume wenzie.
 
Nakwambia me namjua ila sababu nina wivu simalizii herufi zilizobaki...sasa fanya mpango wa kutuma hyo soda chap[emoji23][emoji23]
Badoo
Em hukoo 🀣🀣
 
Ni mimi ila siyo kwa id hii....

Niko Dar...

Wewe uko Chuga..

Enzi hizo tunapigiana video call sana, mpaka za nudes.

Tumetumiana nudes zetu sana..... Za kwako ninazo mpaka leo, za kwangu sijui kama bado unazo...

All in all respect mrembo...

Usione sikufeel ila ni life lilituwekea ukuta tuu.
 
Heee kibabu umefika πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Unapenda wanaume wenyee magari adi Jf umempeNda mtu wa Jf GArage kwelπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…