Je, hili limewahi kukutokea?

Mim kumpenda mtu sijui anafanana vip aiseh siwez aiseh
 
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Aisee. Hizi fursa mbona wengine hazitudondokei? ........ Yaani akikukoti (quote) unazimia sekunde 3. Kweli wakati mwingine mapenzi ni kama wazimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…