Je, hili limewahi kukutokea?

Mimi iliwahi kunitokea ila akaniambia niwe na vitalu vya mafuta kwanza dahh sitasahau
 
Utakua umenifananisha mbalizi! Sina hizo sifa hata chembeee
Huo ndio uhalisia nakuambia na kama hujijui basi kuanzia sasa ujijue na ujikubali. Ujue wakati mwingine utamu wa kuwekana unaanzia kwenye muonekano kama wa kwako huo, ukienda kufunguliwa zipu unakutana na kiwekeo kimesimama kimekomaa kama mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zangu hukuuu mbaliziiii😂😂😂😁😁😁😁🤣 kiwekeo😁😁
 
Pambania kombe mkuu, wewe unaonekana bado nguvu zipo[emoji1787][emoji1787]
Uzuri wa hawa walimbwende ni kuwajulia tu, usiwe na papara. Unaenda nae hatua kwa hatua, ujue miguso inayowafaa na kuwalegeza na kuwalowesha na kuwafikisha. Lakini ni lazima ule ushibe maana kuwekana si lelemama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ni ntu na ntu. Kuna siku nilifatwa PM nikaulizwa katika maswali ya mwanzoni kabisa unafanya kazi gani. Nikajibu napikaga vitumbua mkuu. Ah nikaona vumbi tu....hivi si wapika vitumbua mnatuonaje??[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mbavu zangu hukuuu mbaliziiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] kiwekeo[emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38]kiwekeo aikuweka nacho na wewe unamuweka nacho mnakuwa mnawekana sio![emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468][emoji468]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya hima namsubiria kwahamuu miee[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…