Je, hili limewahi kukutokea?

Hivu unaanzaje kumpendaga mtu humu jf? Yaani inakuwaje kuwaje kwanza. Sijawahi mfahamu member yoyote wa jf kwa kumuona live.
 
Narudia tena, ukiona watu wanapendana humu we jua tu hawa hawajakutana bado! Siku wakikutana tu kila kitu kinaishia hapo hapo na kila mmoja anashika 50 zake πŸ˜€
Weeeeeeeehhh πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ!! Dj ongeza sauti pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
Unampenda mtu kwa nyuzi zake, comments, haya majina ya uongo, avatar yake au kipi hasa kijafanya umepnde mtu wa jf ambae hata jina si lake!??
 
Kwa mwanamke kuzungumzia Ma-Ex wake huwa kunaumiza wanaume wengi (wanaomtaka, walijaribu hata wanaotegemea kujaribisha bahati yao), ndo maana nikampa warning aishie hapo asije akaumiza hapa JF wanaume karibia wote isipokuwa mizee
Nani huyo jamani kakuuzi Tena
 
Wanaume mna heka heka sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Mizee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
Hakuna mwanaume huwa anaimajini mwanamke anayempata alishawahi kumwagiwa sh.ahawa tangu azaliwe, hata awe changudoa. Inaimagine kuwa ni MUPYA tu
 
NdiwoooooooooπŸ˜›πŸ˜›
Aririririririiiiiiiiii πŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ!
 
Hakuna mwanaume huwa anaimajini mwanamke anayempata alishawahi kumwagiwa sh.ahawa tangu azaliwe, hata awe changudoa. Inaimagine kuwa ni MUPYA tu
Akili zakoo sasa !!
 
Unampenda mtu kwa nyuzi zake, comments, haya majina ya uongo, avatar yake au kipi hasa kijafanya umepnde mtu wa jf ambae hata jina si lake!??
Acha tu mkuu.. Unakuta mtu kaweka ki avatar kama cha Antonia hapo.. Siku ukikutana nae sasa we una picha hiyo ya avatar kichwani.. weeeee...!! Mbona utakimbia mwenyewe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Acha tu mkuu.. Unakuta mtu kaweka ki avatar kama cha Antonia hapo.. Siku ukikutana nae sasa we una picha hiyo ya avatar kichwani.. weeeee...!! Mbona utakimbia mwenyewe πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜! Dj Waletreeeeeeee πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…