cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,794
- 189,240
Ruvuma hakuna masista uchwara. 😂😂😂😂Ruvuma kuna masista wengi lakini hawajafanya haya madudu
Ruvuma hakuna masista uchwara. 😂😂😂😂Ruvuma kuna masista wengi lakini hawajafanya haya madudu
Kwanini kanisa limeshikwa masikio sana na hii serikali. Natamani kwahaya yanayofanyika kanisa litutangazie kuwa waumini wake haeatashiriki kupiga kura mwaka huu.
Mkuu naomba unicheck dm![]()
63K views · 2.3K reactions | “Marufuku kwa Watawa kujihusisha na kampeni za Siasa”-; Padre Wolfgang Pisa, Rais wa TEC. | Chadema in Blood
“Marufuku kwa Watawa kujihusisha na kampeni za Siasa”-; Padre Wolfgang Pisa, Rais wa TEC.www.facebook.com
Mambo ya ajabu sanaWalikuwa ni masister kweli na wala siyo uwongo ,ila wamechezewa kinyamazongo na wahuni , yaani walichoitiwa ni tofauti na lengo la wahusika.
Kimsingi wao (Masister) tukio la wao kupigwa picture wakiwa wameshikilia vile makaratasi kwao hawakuwa wamelichukulia kwa uzito kiviiile bila kujua kwa CCM hilo ndilo lililokuwa lengo lao la msingi.