Je hii ni solution????

Je hii ni solution????

Ni ujinga uliopitwa na wakati,mwanamke akitaka kugegedwa atagegedwa tu,ni suala la maamuzi.

Mwanamke wa karne hii anapaswa awe mtafutaji,kama hana mbinu basi mumewe shurti amwezeshe.
 
  1. vishawishi vipo kwa wanawake tuu??
  2. je wanawake hamuwezi kusema NO au ndio udhaifu wenu?
  3. if 1&2 are true do u think kumweka nyhumbani itasolve anything?
 
nimeusikiliza,plz usijichome moto''so what can you do,with your life without me'' wimbo mzuri eeeeeh ongezea na Designed to love you-Smiley

hahahahaha. Sio maneno yangu hayo
 
Dada charminglady,
Hamna ukweli wowote, huo ni woga au upungufu wa uaminifu kutoka kwa mwanaume mwenyewe kwa kutomwamini mkewe.

Mbona unaweza ukamkalisha mwanamke nyumbani lakini bado akakusaliti?

Mimi nadhani inategemea na hulka ya mwanamke mwenyewe.
 
Umesema vizuri mkuu.... Mie nafikiri kutoka nje ya ndoa ni hulka ya mtu. Haijalishi ni mama wa nyumbani ama mfanyakazi / mfanyabiashara. Kwani kuna wanawake ni wafanyakazi / wafanyabiasha wanaozisheshimu ndoa zao.

Pia kuna wanawake ni wamama wa nyumbani ni vicheche hakuna mfano....
 
Habari zenyu bhana.....

Je kumuachisha mwanamke kazi au biashara na kumuweka nyumbani awe mama wa nyumbani ni solution ya kumuepusha kutoka nje ya ndoa?? Make kuna wanaume wanadai wake zao hawawezi kuajiriwa kwa sababu wanakutana na vishawishi....

Karibuni tujadili....

Hapo kwenye blue text,
Hao wanaume unaowazungumzia watakuwa 'wanaogopa' au 'kuhofia' mambo yanayoendelea maofisini.
Kuna thread moja iko hapa JF, jamaa mleta thread alijaribu kukemea 'maovu' yanayoendelea maofisini.
Ila majibu aliyoyapata yanaonyesha na ku-justify 'hofu' waliyonayo na wanaume unaowazungumzia.
Hebu pitia-pitia kidogo thread hiyo uone majibu yaliyoporomoshwa na wana-JF 'wakitetea' 'maovu' yanayofanyika maofisini.
Tembelea thread hiyo hapa chini....
https://www.jamiiforums.com/mahusia...wa-wanaume-wanawake-na-dada-wa-maofisini.html

Copy:
bornagain
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu...
 
Kwa kweli kumzuia mke kufanya kazi eti atatongozwa au atacheat ni ushamba, ujinga, utovu wa nidhamu, ubinafsi na ni hasara kwa familia! Hasara katika maana gani? Mke ana akili, nguvu ana muda. Hivi vitu vitatu ni rasilimali(resources) za familia ambazo hazitumiki kuzalisha zinakaa tu. Lakini wakati huo huo mke anahitaji kula, kuvaa, kupewa huduma ya afya,kujipamba,kustarehe,nk. Hivi vyote vinahitaji hela, lakini rasilimali za mtu mmoja ndizo zinazotafuta mahitaji yote ya familia! Ebu tufikirie swali moja ni ofisi gani inayoweza kuajiri mfanyakazi ambaye hafanyi kazi lakini analipwa mshahara kila mwezi? Ofisi yoyote ambayo boss yuko makini na hataki hasara haiwezi kumlipa mfanyakazi asiye na kazi. Lakini familia nyingi ziko hivyo kutokana na wake kuzuiwa kufanya kazi kwa kisingizio hafifu kuwa watatoka nje ya ndoa. Lakini fuatilia nyendo za waume wa namna hiyo. Nyumba ndogo, mahawara, kwa kwenda mbele! Ndoa yoyote ili idumu katika furaha inahitaji kuaminiana. Kuaminiana kunahusisha mme kumruhusu mke achangie kipato cha familia ama kwa kufanya kazi au bishara. Kuna faida nyingine ya kudumu. Kuna usemi kuwa ni bora mtu akakufundisha kuvua samaki kuliko mtu kukuletea samaji aliovua ili ule tu. Huyo mtu akitoweka/kuhama nk ndio mwisho wa wewe kula samaki. Akikufundisha kuvua hutamtegemea yeye ili ule samaki, awepo asiwepo. Tumeona wake wa nyumbani ambao waume zao waliwazuia kufanya kazi yoyote. Akifamume anaweza akamwachia mke fedha na mali nyingi lakini kwa kuwa hana uzoefu wa kuzungusha hela atafuja zote zitaisha. Mwisho wa yote kuwa omba omba. Kwa hiyo waume ruhusuni wake zenu watumie rasilimali walizo nazo kuchangia kipato cha familia napia wajizoeze kchakarika kwa manufaa ya baadaye.
 
Huu ni ubabaishaji tu..
Tabia ni kama ngozi haibadiliki..
Kikubwa ni kuaminiana..

Habari zenyu bhana.....

Je kumuachisha mwanamke kazi au biashara na kumuweka nyumbani awe mama wa nyumbani ni solution ya kumuepusha kutoka nje ya ndoa?? Make kuna wanaume wanadai wake zao hawawezi kuajiriwa kwa sababu wanakutana na vishawishi....

Karibuni tujadili....
 
CORAL asante kwa mchango wako... Nina imani wanaume wote wenye fikra kama hizi wakisoma comment zako na za wadau wengine hapa watabadilika... Mchana mwema""
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom