Je hii ni solution????

Je hii ni solution????

yaani nitumie miaka 16+2 shule leo binadamu tumekutana akiwa na meno 32 nje aniachishe kazi?

Kisa cha kuwa na mwanaume asiyejiamini ni nini?
Maana hapo ni 3 either mwanaume hajiamini au ni malaya anadhani kila mtu anafanya umalaya ofisini au kwenye biashara au mwanaume ni mfujaji anataka usiwe na kipato ili akucontrol tena hapo ndo anaanza kukunyanyasa hata hela ya chupi na pedi umuombe? Tena unakuta mijanaume mingine inaachisha wake zao kazi halafu yenyewe uwezo wa kumhudumia mke hawana au wanafanya makusudi......

Huwa siwaelewi wanawake wanaokubali hilo jambo......
 
Back
Top Bottom