Je hii ni solution????

Je hii ni solution????

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu bhana.....

Je kumuachisha mwanamke kazi au biashara na kumuweka nyumbani awe mama wa nyumbani ni solution ya kumuepusha kutoka nje ya ndoa?? Make kuna wanaume wanadai wake zao hawawezi kuajiriwa kwa sababu wanakutana na vishawishi....

Karibuni tujadili....
 
Hili ni kosa kubwa ambalo wengi wanalifanya wakifikiri ni suluhu kwa wanayo ya fikiri juu ya wahusika kumbe sivyo maana kuna wanawake wanaleta ndani mabwani hata ukimuachisha kazi atawaleta nyumbani au ata deal na mashamba boy! Pengine hii inaweza ikawa ni tabia ya mtu binafsi na inaweza hisiwe na mahusiano kabisa na kuwa au kutokuwa na kazi kabisa.

Kuna watu wana kazi na wanaheshimu ndoa zao!

Na huu wote ni uoga tuu na kutokujiamini!
 
hizo ni fikra mgando,maisha ya sasa kushare gharama ni muhimu sana ili kuinua kipato cha familia sio kila kitu kumtegemea baba watoto wako,huyo mama na yeye kukubali kuacha kazi aliyoisotea kuipata halafu mume amuachishe kiulaini anakubali hahahahahaha hii ngumu kumesa.
 
Yeah, ni kweli Asnam, mfano ghafla akifa leo huyo MUME na mama watoto alishaachishwa kazi, itakuaje??
 
Asante kwa ushauri... Nionavyo karne hii watu ni kusaidiana. Baba akileta mia mama naye hamsini si haba!!!
 
Ni kweli mdada... maisha ya kumtegemea mume ndio akupe hata pesa ya kiberiti yashapitwa na wakati....
 
Si ndo hapo... wakati huo mwanamke kabweteka ongeza na majonzi ya kufiwa mume anashindwa kujua aanzie wapi kumaintain maisha aloyazoea... Na ukute ana watoto ndo kabisaaaa!!!
 
Ni kweli mdada... maisha ya kumtegemea mume ndio akupe hata pesa ya kiberiti yashapitwa na wakati....

umeachiwa pesa ya nyanya na kitunguu ww wataka kuongezea ndimu eti urudi nyumbani kumuomba baba watoto,mtoto kalilia biskuti umsubiri baba watoto atoke kazini akupe hela aisee hayo sio maisha,siku yakikushinda unarudi kwenye ufukara wa kupindukia huna mbele wala nyuma unakuwa zombie.
 
hiyo sio solution bali ni kujiongezea tu mzigo
kwani akibaki nyumbani ndo kafungwa miguu?? kiasi kwamba wakati mme wake yuko kazini yeye ashindwe kutoka?
wanaofanya hivo wana mawazo mgando na wivu uliopitiliza.
 
Ni maneno makali ila ujumbe uwafikiw wanaume woote wenye mawazo hayo...
 
Siamini kama ni wewe ndio umeandika haya...miezi kadhaa iliyopita kwa bahati mbaya sana sikumbuki ni thread gani lakini ilikuwa ikihusu mgawanyiko wa kipato baina ya wanandoa hususani ni matumizi ya kipato cha mke kwenye ndoa. Nakumbuka namna wanawake wa JF miongoni mwao ukiwepo wewe mlivyotetea kwamba hela ya mke "mshahara" hata mwanaume hapaswi kuijua.

hizo ni fikra mgando,maisha ya sasa kushare gharama ni muhimu sana ili kuinua kipato cha familia sio kila kitu kumtegemea baba watoto wako,huyo mama na yeye kukubali kuacha kazi aliyoisotea kuipata halafu mume amuachishe kiulaini anakubali hahahahahaha hii ngumu kumesa.
 
umeachiwa pesa ya nyanya na kitunguu ww wataka kuongezea ndimu eti urudi nyumbani kumuomba baba watoto,mtoto kalilia biskuti umsubiri baba watoto atoke kazini akupe hela aisee hayo sio maisha,siku yakikushinda unarudi kwenye ufukara wa kupindukia huna mbele wala nyuma unakuwa zombie.

Maisha ya kikoloni
 
Siamini kama ni wewe ndio umeandika haya...miezi kadhaa iliyopita kwa bahati mbaya sana sikumbuki ni thread gani lakini ilikuwa ikihusu mgawanyiko wa kipato baina ya wanandoa hususani ni matumizi ya kipato cha mke kwenye ndo. Nakumbuka namna wanawake wa JF miongoni mwao ukiwepo wewe mlivyotetea kwamba hela ya mke "mshahara" hata mwanaume hapaswi kuijua.

Mpwa kwani hawa viumbe wanatabirika?
 
Kweli kabisa! Ila tatizo wengi hawafirii hili akili ikijaa uoga wakusalitiwa!
Asante kwa ushauri... Nionavyo karne hii watu ni kusaidiana. Baba akileta mia mama naye hamsini si haba!!!
 
Siamini kama ni wewe ndio umeandika haya...miezi kadhaa iliyopita kwa bahati mbaya sana sikumbuki ni thread gani lakini ilikuwa ikihusu mgawanyiko wa kipato baina ya wanandoa hususani ni matumizi ya kipato cha mke kwenye ndo. Nakumbuka namna wanawake wa JF miongoni mwao ukiwepo wewe mlivyotetea kwamba hela ya mke "mshahara" hata mwanaume hapaswi kuijua.
ni upepo tu umeshapita mkuu,mie huo ujinga sifanyi maisha ya sasa bila ushirikiano mtaishia kulipa bills na kodi ya pango bila hata kujenga kibanda chenu.
 
Binafsi hupenda mke wangu afanye kazi.
Lakini napenda ziwe ni kazi za kujiajiri kuliko za kuajiriwa.
Hii itatoa nafasi kwake kutimiza majukumu ya mke vilevile yale ya mama.
Vishawishi havichagui eneo, popote pale huwa vinapatikana. Leo umeanza na kazi, kesho hukawii kukataza kwenda saluni, sokoni n.k
 
perfecto mpwa
 
Back
Top Bottom