Asnam
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 4,256
- 2,949
Mpwa kwani hawa viumbe wanatabirika?
wasiwasi wako tu kwani 1+1=2 haibadiliki kamwe!!!!!!!!!!!1
Mpwa kwani hawa viumbe wanatabirika?
Amehamia WB last two weeks
wasiwasi wako tu kwani 1+1=2 haibadiliki kamwe!!!!!!!!!!!1
mwambie kuna binti yake anatafuta kazi ya kumbebea japo mipochi yake loh
huyo binti ni Pure Head Damage holder?
why?????
Mpwa kwani hawa viumbe wanatabirika?
PHD. Elimu yani. Atakuwa analipwa na WB
Kuna wengine nawasubiri hapa, halafu nitakuwa nawakumbusha maana tulibishana sana kwa hoja nakumbuka.
kwa hiyo unafikisha maombi au una wivu.
Kuna wengine nawasubiri hapa, halafu nitakuwa nawakumbusha maana tulibishana sana kwa hoja nakumbuka.
Nitafikisha. Wivu wa nini sasa jaman? Kesho atakupgia
ni upepo tu umeshapita mkuu,mie huo ujinga sifanyi maisha ya sasa bila ushirikiano mtaishia kulipa bills na kodi ya pango bila hata kujenga kibanda chenu.
siku hazitabiliki kuna wakati utalazimika kuwa idealistic na kuna wakati unakuwa materialistic,hata siku moja usimruhusu adui yako akukaririe mbinu za mashambulizi utakufa mapema.
watazikana na kuziruka kaul zao za kwanza. Wait n see
siku hazitabiliki kuna wakati utalazimika kuwa idealistic na kuna wakati unakuwa materialistic,hata siku moja usimruhusu adui yako akukaririe mbinu za mashambulizi utakufa mapema.
umemwambiaje thatha.
acha ushakunaku ww loh hebu sikiliza redio nanihii kuna nyimbo lainiiii kama kigoli anavunja biskuti.
Unanipa dedication ya wimbo gan?