Una kazi?
Kama unakazi inayojitosheleza sawa Ni haki yako km sio under 18.
Waambie maisha yamebadilika watoto wanapata kazi mikoani sasa wasiende kufanya kazi sababu wataonekana wahuni???
Mi mdogo wangu alipata kazi akiwa na 23 years mbali kabisa na home na mshahara mnono au bado unanyonya
Mkuu moyo wangu mgumu kuja huko nishauri hapa hapa
Asante kwa kuchangia ingawa sababu zako hazijaniconvice
So wewe unataka ukiondoka kwenu kwa style ya kwenda kupanga ndo iwe Jumlaa??Sasa nikimpata ntamrudi vipi nyumbani sindontaolewa huko nilipoipata mkuu
So wewe unataka ukiondoka kwenu kwa style ya kwenda kupanga ndo iwe Jumlaa??Daah acha kumpa majaribu mama ako msada ebu kitulize kwenu subiri mpaka utakapotwaliwa na mumeoo kwa heshima zotee... Labda kama una mimba unataka uifiche io aibuu...
Kama unajiamini unaweza kujichunga huna haja ya kuwasikiliza.Wakuu nisaidieni kunishauri nahitaji kujitegemea kutoka nyumbani na kwenda kupanga ila tangu niwashirikishe nyumbani kuhusu mpango wangu kila mtu amelichukulia kwa mtazamo negative kwamba ni mapema kwenda kupanga kwa mtoto wa kike,natakiwa niondoke mpaka niolewe,najiona nimekua,nimepata bwana/danga ndoananichanganya,nitakua siheshimiki katika jamii......
Je kama Ke siruhusiwi kuendesha maisha yangu kwakua sijaolewa bado???hii ni sawa kweli???
Mkuu hebu njoo pm nikushauri vizuri maana hapa ya wengi yatakuchanganya. Upatapo ujumbe huu usiufanye moyo wako kua mgumu. Awaiting for you
Wakuu nisaidieni kunishauri nahitaji kujitegemea kutoka nyumbani na kwenda kupanga ila tangu niwashirikishe nyumbani kuhusu mpango wangu kila mtu amelichukulia kwa mtazamo negative kwamba ni mapema kwenda kupanga kwa mtoto wa kike,natakiwa niondoke mpaka niolewe,najiona nimekua,nimepata bwana/danga ndoananichanganya,nitakua siheshimiki katika jamii......
Je kama Ke siruhusiwi kuendesha maisha yangu kwakua sijaolewa bado???hii ni sawa kweli???
Nilivyomuona mimi hakuja kutaka ushaur bali amekuja kutaka kuungwa mkono na maamuzi yake mm nasema kila la her mwanakulitaka mwanakulipataSasa sisi ni nani hadi tutoe ushauri unaopingana na wa wazazi wako?
Mwana kulipata kwelii...Nilivyomuona mimi hakuja kutaka ushaur bali amekuja kutaka kuungwa mkono na maamuzi yake mm nasema kila la her mwanakulitaka mwanakulipata
Kwani nyumbani kuna geti?!
Maana kama unarudi usiku kutoka kwa danga na kuna geti unawasumbua kufungua hapo ni kero hata kwako binafsi (unaweza kuhama kwa tricky sana), lakini kama hakuna geti usihame we endelea na life hapo hapo kwa wazee.
(Ukitaka kupanga nistue kuna nyumba mbili nazipangisha kule temeke)