Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Tafasiri tafadhali wadau, mwenye uelewa na hii lugha.hafadhali umeshuka umekuwa mjanja, MGEGANDIA kama wale wa TMK. na harusi higefanyika.
Naamini atakuwa ameshindwa na kulegea kabisaEx girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Huyo mpenzi wako wa zamani ni mtamu kiasi gani?si ungempa tu cha fasta fasta cha nje???wala msingegandiana
Tafasiri tafadhali wadau, mwenye uelewa na hii lugha.
Ex girlfriend wangu aliolewa miaka mitatu nyuma, tena aliniacha kwa kuniumiza moyo kuwa mimi sina hela wa maisha.
Kasikia kuwa kesho naoa, leo kasema ataniletea mchango wake 1mil. Tumekubaliana kukutana Kinondoni Manyanya. Baada ya kukutana nae anataka eti nikamfanye kwani amesisimuka baada ya kuniona.
Natamani nimpige lakini najua mpango wake ni kuniharibia harusi.
Nimemuacha na milioni yake
Huenda kesha kwaa miwaya alitaka awaangamize. Ashindwe na aharibikiwe zaidi. Ingekuwa siyo suala la binafsi alipaswa hata kuitiwa polisi huyo wakammwangosi vizuri.