Unazungumzia nadharia ambayo haiwezekani bro. Gharama zitakuwa juu sana huwezi Afford .
Ku import Lpg kutoka mataifa mengine uje uweke tena miundombinu yakusambazia watu hata government haiwezi price itakuwa kubwa sana.
Ndio maana Gesi inayosambazwa kwenye nchi zilizoendelea majumbani Ni Lng ambayo na sisi tunayo.
Mfano Gesi yetu Lng composition yake ni Methane kwa 98 % sasa ni ujinga uliozidi kiwango tuache methane tutumie mabaki yake ambayo ni Propane na butane ambayo hayafiki hata asilimia mbili Kusambaza majumbani.
Hiyo Lpg unayozungumza ni mabaki ambayo ukichakata pia mafuta kwenye refinery unapata ambayo ni kiasi tu. Unahoja nzuri lakini ungebase kwenye Lng ambayo price yake inaeleweka.
Miundombinu tu ndio hiyo unasikua bilioni 800 hadi trillion 1. Pia uweke metering skid kila nyumba. Monitoring, Maintainance naona kama unaota