Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

francoo1

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,509
Reaction score
1,115
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao ndo wataacha.

Hivo kwa vyovyote vile wasingekaa kimya baada ya kuona "BOSS" wao iran akichezea kichapo kutoka IDF. Nashangaa hadi sasa sijasikia wakisema wamerusha kombora lolote kuelekea Isrel.

Nauliza Je? Hezbolah kwa sasa wako wapi? naombeni wadau mnisaidie kwa hilo

Asante
 
Una uhakika hao Hezibollah bado wana makombora? Kuuliwa kwa yule kamanda wao mtata Nasrallah lilikuwa pigo kubwa maana jamaa alikuwa hapoi.

Ila Israeli na Mossad yao dah! Walivyompata mpaka Nasrallah walishangaza wengi maana jamaa alikuwa amejiaminisha kuwa ni invincible....
 
Unatafuta matusi kutoka kwa mashabiki wao,kuna mmoja jana kasema eti Hezbollah ipo kwenye truce na Israel so haiwezi kuishambulia Israel. By the way Iran iliwekeza sana kwa Hezbollah ili aje amsaidie wakati wa vita kama huu ili Israel iwe busy kwa wakati mmoja na Hezbollah na yeye.
 
Una uhakika hao Hezibollah bado wana makombora? Kuuliwa kwa yule kamanda wao mtata Nasrallah lilikuwa pigo kubwa maana jamaa alikuwa hapoi.

Ila Israeli na Mossad yao dah! Walivyompata mpaka Nasrallah walishangaza wengi maana jamaa alikuwa amejiaminisha kuwa ni invincible....
Ngoja Wa-Iran wa Kwa Mtogole wakusikie uone utavyoparamiwa kwa matusi hapa kama mpira wa kona.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao ndo wataacha.

Hivo kwa vyovyote vile wasingekaa kimya baada ya kuona "BOSS" wao iran akichezea kichapo kutoka IDF. Nashangaa hadi sasa sijasikia wakisema wamerusha kombora lolote kuelekea Isrel.

Nauliza Je? Hezbolah kwa sasa wako wapi? naombeni wadau mnisaidie kwa hilo

Asante
Iran anajitosheleza kuiadhibu mayahudi tel aviv gey heaven imeshaaza kuteuka magofu.
 
Una uhakika hao Hezibollah bado wana makombora? Kuuliwa kwa yule kamanda wao mtata Nasrallah lilikuwa pigo kubwa maana jamaa alikuwa hapoi.

Ila Israeli na Mossad yao dah! Walivyompata mpaka Nasrallah walishangaza wengi maana jamaa alikuwa amejiaminisha kuwa ni invincible....

Mimi hawa Wayahudi nimewashindwa hawafai kabisa. Wakikutaka kwa nia moja hawakukosi. Utaruka ruka utajaa kwenye mfumo. Israel akili nyingi walianza na wadogo kwanza kisha wanamalizia na anayewatuma.
 
Hawa Mossad washenzi sana hawa. Kumbe makomandoo wake walishaingia Iran muda mrefu na silaha. Kuna drones zinarushwa kutokea ndani ya Iran kuipiga Iran humo humo. Ukizidiwa kwenye intelligence aisee napo ni shida!

20250615_125910.png
20250615_125840.png
 
Nyie ingieni mpaka ndani ila mtaishi kweny mashimo kama panya, usicheze na shia mbwa nyie ...Taifa la Mungu mpaka Mungu wao anaogopa shia.
 
Hawa Mossad washenzi sana hawa. Kumbe makomandoo wake walishaingia Iran muda mrefu na silaha. Kuna drones zinarushwa kutokea ndani ya Iran kuipiga Iran humo humo. Ukizidiwa kwenye intelligence aisee napo ni shida!

View attachment 3369518View attachment 3369519
Israel ni hatari sana Mzee Baba, chukulia kabla hajaenda kuipiga Iran alishaitahadharisha wiki 1 kabla kuwa Iran ikae mkao wa kichapo lakini Iran haikumzuia Israel na ilitekeleza ahadi yake ya vita vile vile ilivyopanga duuuh!...?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Washenzi hao waliweka vituo humo humo ndani ya Iran kwa muda sana . Wamepiga pia wakiwa ndani ya Iran
Mossad waliandaa shughuli miezi zaidi ya 18.

Hizi idara za ujasusi zafanya kazi zake kwa weledi, ujuzi na utaalam wa hali ya juu.

Pale walipoanza na zile pagers wengine tiyari tulikwishafahamu malengo halisi ya Mossad.

Yalikuwa ni maandalizi ya shughuli ya leo.
 
Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?

Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote

Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel
 
Marekani yuko wapi kumsaidia swahiba waje Israel?

Maana ile michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote

Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi
hakuna airdefence ambayo iko perfect 100% kama tuu drone zinapenya kwenye airdefense za urusi ambazo ndizo bora duniani je iron dome ni nini hadi misile zisiweze kupenya?
 
Marekani yuko wapi kumsaidia shoga yake Israel?

Maana michuma chuma ya Iron Dome na THAAD aliyompa haimsaidii Myahudi kwa lolote

Vinu vya Mwajemi vinashuka tu kufanya maangamizi kila kona ya Israel
ndege sa israel zinajaza mafuta kwenye anga la iran yani sasa hivi wameshapafanya iran kama sebuleni kwao je iran si alikua hapa anajitapa anazo airdefense bora zaidi duniani sasa ziko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom