Je, Hayati Rais Magufuli alikuwa ni mtu wa namna gani hasa?

Alikuwa Dikteta na mtawala katili kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu,alikuwa akijisikia furaha kuumiza watu na kufurahia maumivu yao,rejea kauli zake mwenyewe, "watalimia meno","matajiri kuishi kama mashetani nk ,huyo ndie magufuli ninaemjua.
 
Katiri sana aliyeshindwa kuficha hisia zake kwa kulopoka kudhihirisha ubaya wake
Ni kweli kabisa marehemu alikuwa hawezi kuficha hisia zake za ukatili. Kuna mtu alisem marehemu alikuwa shetani anayevaa suti, nakubaliana naye, ni kweli alikuwa shetani aliyekamilika!!
 
Katika historia ya Ukristo kuna mtu mmoja tu alikuwa binadamu 100% na Mungu 100% naye ni Imanueli. Katika historia ya Tz tumepata mtu mmoja ( na awe yeye tu) alikuwa binadamu 100% na Shetani 100%!
 
Mwendazake alikuwa FISADI, Mwongo, Mzinzi, Mbaguzi wa kidini na kikabila, Muuaji na Mpenda kusifiwa kwa mambo ya KIJINGA.

Tumshukuru Mungu kwa kumtoa kabla hajaharibu sana nchi yetu nzuri ya Tanzania
 
Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani?

Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye.

Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu wachache walikuwa wanaweza kuandika post zinazoelezea neative kumhusu Hayati. Hao walihakikisha hawatumii majina yao halisi katika kupositi hizo negativity, wachacha waliokuwa wanatumia majina halisi ni wale ambao walikuwa radhi kwa lolote.

Kabla ya Hayati, kwenye utawala wa JMK ilikuwa ni kawaida kabisa kuona watu kwenye vyombo vya usafiri, vijiweni, kwenye vyombo vya habari vyote zikiwemo tv n.k. watu walikuwa huru kuongea na kutoa mitazamo yao kuhusu Rais na serikali kwa ujumla tofauti na kipindi cha Hayati ambapo watu walikuwa huru kuimba sifa njema tu.

Baada ya kifo chake kumetokea pande mbili zinazokinzana. Upande mmoja umejikita katika kuanika ubaya wa Hayati na Upande mwingine unatumia nguvu nyingi kukanusha na kuelezea mazuri ya hayati kwamba alikuwa mtu mwema na aliyefanya maendeleo makubwa haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu.

Upande huu unawalaani sana wale wote wanaosema ubaya wa Hayati kwa kuwaona kama hawana shukrani na sio wazalendo kwa nchi na kwa Hayati. Wanaenda mbali zaidi kwa kutamani wote wanaomsema hayati kwa ubaya kama ingewezekana serikali iwakamate na kuwapa adhabu kali sana. Hiyo kama haitoshi kundi hili limefika mahali linakihusisha kifo cha Hayati na njama, kwamba Hayati ameuliwa na wabaya wake ambao hawakufurahishwa na misimamo yake kuhusu raslimali za nchi, na pia walikuwa wanamuonea wivu kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya kwa muda mfupi.

Mbaya zaidi wanadiliki kuwataja kwa majina hao wanaowaita wabaya wa Hayati.

Kwangu mimi jambo hili halina afya hata kidogo kwa mustakabari wa amani yetu. Maana hili linabomoa zaidi kuliko kujenga. Kwasababu haifai kuwatuhumu watu bila ushahidi.

Sasa katika makundi haya mawili hakuna kundi hata moja ambalo watu wake wanaweza kuelezea mazuri na mabaya ya Hayati kwa pamoja ili tuweze kupima kwenye mizania tupate jibu linaloweza kutuambia Hayati alikuwa ni mtu wa namna gani.

Je, wewe Mwanajukwaa ulivyomfahamu Hayati kwa mazuri na mabaya yake unadhani alikuwa ni mtu wa namna gani?
Unauliza makofi polisi?! Shetani ana nafuu
 
Alikuwa ni kiongozi ambaye kwa kiasi kikubwa aliweza kupunguza gap kati ya walionacho na wasionacho.
 
Katili mbaya.
 
Was a human being with minimal basic leadership qualities, believing that a single brain can get us (nation) further while disengaging all other brains from contributing to the national path to sustainable development, that development is mainly infrastructure construction, that alternative thinking/opinion is barbaric, that a leader assumes the position of God and assumes a command to tell God what to do and not to do, that it is enough uttering the word God many times than living the God's Commandments, that life is all about gaining cheap popularity than living the reality, that we can disengage from all other nations and live on our own but they are important when it comes to borrowing, that we speak nationalism on platforms but encourage nepotism behind the scenes, that downgrading ones dignity is a model of leadership, that he is always right.
For all of us that still have seconds before receiving our beloved God's call, let's strongly build on the hearts and brains of our beloved countrywomen and men, other things will flow under gravitational force (little to be done to initiate the flow). Right becomes always be the first in our hearts, then peace and love are automatic, instead of preaching peace while hesitant to utter right
Stay blessed
 
Back
Top Bottom