Je hapo ulipo mitambo ya analogi imezimwa?

Tafuta decoder ya Easy Tv, wapo pale Zonghua Garden, Morocco. Wao unapata local channels almost zote, kasoro Ctn. Ni jamaa wazuri sana. Wanauza decoder yao sh. 140,000/- na kila mwezi unalipia sh. 9000/-

Hawa easy tv wanatumia madish au ni antena?
 
easy tv wanatumia antenna za mwiba wa samaki kama hii hapo kwenye picha.
decoder zao ni za kawaida kama za star times.
 
Attachments

  • antenna.jpg
    antenna.jpg
    14.7 KB · Views: 76
Msinunue Decoder za Kianalogue ambazo haziwezi hata kurekodi kipindi chochote... Ni Bora kuwasubiri StarTV au Decoder za Mengi tu... Nyanidume Hud Idimi kama Huduma za Cable Tv (ctv ) hazipo karibu mimi nafaidi sana kwa huduma za Ctv Decoder zao ni za kisasa kabisa....

Decoder hizo za kisasa zinakuja lini ???
 
Vipi jamaa walioko mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, MBEYA, n.k. watuambie vipi huko ?

Mbeya hakuna kitu kama hicho,me sijawahi kununua king'amuzi natumia dish(satelite) iko poa tu.
 
Msaada kwenye tuta: Kwa hiyo tv zote za digitali na analogi zinahitaji hivyo ving'amuzi ili kuonyesha picha?
 
Hapo kwenye blue,
TV za digital hazihitaji ving'amuzi, maana tayari zina ving'amuzi.
TV za analogue ndio zinahitaji ving'amuzi ili kubadilisha matangazo ta tv toka digital kuwa analogue, ili uweze kuyaona kwenye tv za analogue.
 
Msinunue Decoder za Kianalogue ambazo haziwezi hata kurekodi kipindi chochote... Ni Bora kuwasubiri StarTV au Decoder za Mengi tu... Nyanidume Hud Idimi kama Huduma za Cable Tv (ctv ) hazipo karibu mimi nafaidi sana kwa huduma za Ctv Decoder zao ni za kisasa kabisa....

Mkuu uko Tanga?
Najua CTV wapo sana Tanga, lakini kwa Dar sijajua nani anasambaza TV channels kwa cable
 
Mkuu nipo kwa dgital toka mwanzo natumia startime,baada ya kuzima dezo chanel nafungua kingamuzi WAMEKATA clouds,C.TEN na zingine zimebaki Itv,Itv na Dtv na za nje, inakuwaje IMEKULA KWANGU?

Vigezo na masharti kuzingatiwa, kuna haja ya kuliangalia hili maana jamaa huwa wanakata wanavyotaka wao
 
Hapo kwenye blue,
TV za digital hazihitaji ving'amuzi, maana tayari zina ving'amuzi.
TV za analogue ndio zinahitaji ving'amuzi ili kubadilisha matangazo ta tv toka digital kuwa analogue, ili uweze kuyaona kwenye tv za analogue.

Nacho fanya hapa ni kununua Smart card ya king'amuzi husika bila shaka mkuu?
 
Mkuu uko Tanga?
Najua CTV wapo sana Tanga, lakini kwa Dar sijajua nani anasambaza TV channels kwa cable

Nipo Dar Hii CTV ipo Kitambo sana yaani... Na mimi nilianza kuitumia Mwaka 2000... enzi hizo unapachika Cable tu ila Kuanzia Mwaka Jana wakatuforce tununue Decoder Yaani Kwa Mwaka tulilipa Dollar 90 mwaka huu wamepandisha ni Dollar 100 kwa Mwaka Full Burudani Soccer ya Uk Wametuunganisha na Abudhabi Tv,Movie,Discovery,Animal Planet,NatGeo zote,Cartoon,Hindi Movie+Music yaani Gurudani hadi Aibu naoana kama Nawaibia vile Kuna Mwaka juzi Cable ilikatika kama Wiki nikanunua Star Times Mbona Nilijuta....
 
Asante kwa taarifa hizi ndugu. Wako wapi hawa jamaa kwa Dar? Je cable yao imesambaa mji mzima?
 
Mkuu CTV KWA Dar wapo pale jengo la J.M. Mall 2nd Floor..... Navyojua Cable zao wamesambaza City Centre,Kariakoo karibu Yote Ilala Baadhi hadi imeishia Buguruni... Wilaya ya Temeke wapo Chang'ombe sijajua kama Temeke wamefika, Wilaya ya Kinondoni Wapo kuanzia Salender Bridge,wameenda Oysterbay Masaki, Kuanzia Mitaa ya FAO hadi kwa Kikwete Mikocheni A na B hizo ndio sehemu nijuazo ila kuna wakati niliwauliza wakasema kama eneo linapenda kuwa na ctv wakijioganise na wakafika kama 40 wanaleta mtambo wa uweli wa Burudani... Simu zao ni Landline 022-2116611
 
Ubarikiwe sana ndugu yangu.
Nitawatafuta
 
Huku mikoani wanazima lini!! Bado wananchi 2natumi Anologia
 
Back
Top Bottom