Je hapo ulipo mitambo ya analogi imezimwa?

Je hapo ulipo mitambo ya analogi imezimwa?

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,764
Reaction score
9,680
ITV analogi off air
STAR analogi off air
TBC analogi off air
ZBC analogi ipo

reporting from Zanzibar.
 
ITV analogi off air
STAR analogi off air
TBC analogi off air
ZBC analogi ipo

reporting from Zanzibar.

Hapa Dar es Salaam pia mitambo ya analogue imezimwa !!
Matangazo ya tv hizo yanaonekana kupitia king'amuzi (start times na easy-tv).
Jamaa wamefanya ki-ukweli, nilidhani wangeongeza muda kama ilivyo kawaida ya nchi yetu.
 
analojia hadi ktk cmu yangu wamezima,mbona hawakusema kuhusu simu!
 
Vipi jamaa walioko mikoa mingine kama Mwanza, Arusha, MBEYA, n.k. watuambie vipi huko ?
 
mm tv na king'amuzi chake haviwaki sijui nilikosea nn.
 
mm tv na king'amuzi chake haviwaki sijui nilikosea nn.

......... inawezekana na hicho ni cha analogy!
Endapo wakisema na redio ziwe dijital hapo ndo watanishughulisha kwa sasa waende dijitali au bluetooth au kokote kule
 
Jamani mi cna king'amuz, hivyo naiombeni mnijuze nyie mnaotumia ving'amuz, ni king'amuz gan kilichoshiba local channels baada ya kuzima huo mtambo wa analojia? HESHIMA KWENU WAKUU.
 
Ha ha ha dah pole jomba ndo hamia smart phone sasa,
 
Mnaandika nyie mnajijibu nyie, Kuna mtu Tz anaweza kusema jamaa wamefanya kweli aiseee tumezoea longo longo hawa hawana? Mangapi mnafanya vizuri mpaka muonekane hamna longo longo? Wenye akili tunajua mna ten percent yenu na watu wa ving'amuzi na sio jingine. Mngekuwa hamna longo longo ving'amuzi si mngehakikisha vipo kila mahali na katika bei ambayo ni affordable kwa wananchi wa vijijini? Hivyo mmefanya kweli mission accomplished ten percent guaranteed.
 
Haaaaaaa tz tukiwa makini kama hv kutekeleza ahadi tutafika mbali
 
Jamani mi cna king'amuz, hivyo naiombeni mnijuze nyie mnaotumia ving'amuz, ni king'amuz gan kilichoshiba local channels baada ya kuzima huo mtambo wa analojia? HESHIMA KWENU WAKUU.

kama upo dar tafuta cha ting, ni watu wa atn nadhani wana local chanels nyingi kwa sie wapenda taarifa. Kama upo moro au dodoma tafuta cable tv, wana local chanels na ligi kuu ya uingereza kama kawa
 
hali ikizidi kuwa ngumu itabidi tuandamane tu,uhuru wa mwananchi kupata habari uko wapi?
 
Back
Top Bottom