Je, George Floyd ni mtume?

abdoool nafahamu kwanini unapinga na kwanini umeandika ulichokiandika!


Mungu haitaji kutoa kafara kutimiza jambo lake kama jinsi binadamu anavyotoa kafara kuua mwanadamu mwenzake ili eti apate utajiri nk,,

Mungu anasema;; Usiue nafsi isiyokuwa na hatia, sasa iweje Mungu aamuru G. Floyd auawe bila hatia??
 
Au Ni trick ya hao "IILUMINATI NA FREEMASON"?

Kwamba wameona watu hawafi sana hasa blacks Kama walivyopanga walivyocheza karata ya Covid-19.....

Wakajiuliza tufanyeje???

Jibu Ni kill a black person to incite chaos ambapo watu watatoka tu nje hasa blacks kuandamana then maambukizi yatakuwa makubwa..

Hapa duniani hasa America hakuna kitu kinatokea randomly......hii inaweza kuwa iko planned..

Let us wait and see baada ya haya Maandamano...level ya infection kwa black Americans itakuaje....
 
Acheni kumchosha Mungu na mambo yasiyomuhusu.

Mitume wanaletwa ili kuwapa wanadamu ujumbe wa kumrudia Mungu, pale sehemu kubwa ya watu wanapokua wamemuhasi Mungu,

Ubaguzi wa rangi, mauaji, dhuluma, utumwa, chuki, fitina na madhila mengine yapo siku zote kama changamoto kwetu wanadamu ili tuinue macho yetu mbinguni,

Hitimisho, acheni kufananisha mitume wa Mungu na vitu vya kijinga
 
Ujumbe kwa Dunia kuwa ubaguzi sio kitu kuzuri,na sio kila mzungu mbaguzi

Wazungu wamejumuika wengi katika haya maandamano kuliko watu weusi
Amufikishaje huo ujumbe ? Kwa ufupi umekosea kumlinganisha na mtume na hii imetokana na kutokuwa na maarifa ya kutosha juu ya utumd na mitume.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
umeanza vizuri sana ila kati umeharibu
hiyo kitu ni kweli itakuwa iko planed

lakini naamini imekuwa planed baada ya mabeberu kuona kuwa lengo la covid 19 lime fail wanataka kurudi katika maisha ya kawaida kama ilivyo siku zote. .sasa walikuwa wanajiuliza watarudi vipi katika maisha hayo wakati walisha iaminisha dunia nzima Kuwa corona inaua sana nahaina kinga wala dawa. . wakiamua kuvunja lockdown wakati dawa wala kinga hazijapatikana kama walivyo aminisha watu wataonekana kuwa walikuwa ni waongo
so wameamua kuja na hili la kifo cha George ili kuuzima upepo wa corona..

imagine kama corona ingekuwepo kweli kama tulivyo kuwa tuna aminishwa,kwanini hatuoni watu wakianguka mabarabarani
 
Reactions: rr4
Mungu haitaji kutoa kafara kutimiza jambo lake kama jinsi binadamu anavyotoa kafara kuua mwanadamu mwenzake ili eti apate utajiri nk,,
Kweli?
Sasa Ibrahim mbona aliambiwa amtoe Isaka kafara?
mbona wana wa Israel walikuwa wakichinja wanyama kama kafara ili wapate damu?
.
la Kristo naliacha tuanze na hayo!


Mungu anasema;; Usiue nafsi isiyokuwa na hatia, sasa iweje Mungu aamuru G. Floyd auawe bila hatia??
George Katumika kiungu
 
Yaani apo tu kwenye kuwaita hao jamaa mabeberu sasa nani jike?
 
Mtume wa mwisho ni Muhammad (SW) hakutakuwa na mtume baada yake
 
Mwamba alikuwa ana act "PONO" au TIRAMPU (Wazungu) wanaleta propaganda kushusha mizuka ya blacks kuandamana?
 
Mtume wa mwisho ni Muhammad (SW) hakutakuwa na mtume baada yake
Kwa majibu wa nani ? Una uhakika gani na hicho unacho kuongea kama kina ukweli au la ...!? Maana isije ikawa ume karilishwa tu hivyo then na wewe ukaamini moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…