johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,009
- 142,042
Hahahaaaa....... Mtamruhusu?Ubunge ndo Nini we pimbi?
Bwashe Mbowe siyo maskini kama wewe, Nape na Mwiligulu. Jikite kuondoa umaskini wako wa kipato ili uwe na free mind.Nauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Kama siyo maskini hapo Ufipa anangoja nini?Bwashe Mbowe siyo maskini kama wewe, Nape na Mwiligulu. Jikite kuondoa umaskini wako wa kipato ili uwe na free mind.
Bado mmekomaa na CHADEMA tu , mbona kuna mambo mengi ya kuwashauri viongozi wenu wa ccm. Msiwe wajinga sanaNauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Aliyekuambia ufipa ni mtaa wa maskini ni nani? Jitafakari.Kama siyo maskini hapo Ufipa anangoja nini?
Ingependeza yeye na Mbatia waingie bungeni. Ingependeza CDM wapeleke wabunge wa viti maalumu. Kususa sio dawa. Kwa jinsi mambo yalivyo, there is nothing that they could doNauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Ajira zenu ni kama zimeshakufa sasa hata posho yenu hapo Lumumba sio muda itasitishwaNauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Ingependeza yeye na Mbatia waingie bungeni. Ingependeza CDM wapeleke wabunge wa viti maalumu. Kususa sio dawa. Kwa jinsi mambo yalivyo, there is nothing that they could do
Hawezi kukubali maana nje ya siasa mwamba anapesa ya kutosha Sana, hafanyi siasa kwa njaa,japo yapo mengi yamemkutaNauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Ngoja tuone bwashee!Hawezi kukubali maana nje ya siasa mwamba anapesa ya kutosha Sana, hafanyi siasa kwa njaa,japo yapo mengi yamemkuta
Level ya mwamba sio ya nchi hii mkuu ,achana na mbowe
Asikubali pNauliza tu endapo itampendeza Rais Magufuli na akamteua mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kuwa mbunge, kamati kuu ya Chadema itamzuia kama wanavyojaribu kuwazuia wale wabunge wanawake 19 kutoka Bawacha?
Ni hako kaswali tu makamanda.
Maendeleo hayana vyama!
Tatizo unapo au utumiapo bwa shee , Kama kweli hu mtumishi au sio mtumishi bali mungu lipo Jambo kakupa kwa kumtumikia kwa njia moja au nyingine basi omboea japo kidogo afrika, UGANDA UNAONA KINACHOJIRI.Ngoja tuone bwashee!