Wadau wote tunajua jinsi gani Social media ikiwemo Favebook zilileta mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa leo kuanzia Siasa, kiuchumi na hata Kiutamaduni sasa hapa najaribu kufikiria je matokeo haya mabaya ya Form 4 (kabla ya kurekebishwa) yanaweza kuwa yamesababishwa na Wanafunzi wengi kutumia muda mwingi Facebook kwa mambo ambayo hayaendani na Masomo?