Je facebook inaathiri ufaulu wa wanafunzi mashuleni?

clasi

JF-Expert Member
May 5, 2013
378
683
Wadau wote tunajua jinsi gani Social media ikiwemo Favebook zilileta mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa leo kuanzia Siasa, kiuchumi na hata Kiutamaduni sasa hapa najaribu kufikiria je matokeo haya mabaya ya Form 4 (kabla ya kurekebishwa) yanaweza kuwa yamesababishwa na Wanafunzi wengi kutumia muda mwingi Facebook kwa mambo ambayo hayaendani na Masomo?
 
je matokeo haya mabaya ya Form 4 (kabla ya kurekebishwa) yanaweza kuwa yamesababishwa na Wanafunzi wengi kutumia muda mwingi Facebook kwa mambo ambayo hayaendani na Masomo?

hayo ni mawazo tu na haki ya kuyatoa unayo kichwa cha kusoma ni cha kusoma tu embu fikiri jamii ya watanzania bado haina uwezo wa kumiliki vifaa vya internet ikiwemo cmu mbona ujagusa mapenzi kabsa mkuu
 
Nataka kufanya huo UTAFITI nikitumia EXPERIMENTAL DESIGN ( nikiwagawa katika Control na Experimental Groups) mkuu nikangalia hasa wanafunz wa Sekondari. utachukua kati ya Miezi 9 mpaka mwaka 1.
 
Hapana, asilimia kubwa ya wanafunz walo feli wapo miji ambayo haijaendelea ki teknolojia. Mfano me nipo shirat rorya, huku cm kwanza ni bei rahi kulinganisha sehem nyingine lakin asilimia kubwa ya wanafunz wa huku hawana simu, na walo nazo nizile za elf kumi na tano hadi thelathin ambazo hazina intanet. Lakin wamefeli had walimu wa huku tunaona aibu. Sababu ni msingi ambao wametengenezewa toka nyumban had kuingia sekondari.
 
Asante kwa inputs fredmagessa nakubaliana na wewe kuwa kufeli kuna sababu nyingi ukiondoa facebook. zipo za uhaba wa walimu, SCHOOL INSPECTORS hawafiki kule remote areas, au hata wakifika wanakuwa kama POLISI badala ya kusaidia walimu jinsi nzuri ya ku-improve teaching-learning process.
 
Wadau wote tunajua jinsi gani Social media ikiwemo Favebook zilileta mabadiliko makubwa katika ulimwengu wa leo kuanzia Siasa, kiuchumi na hata Kiutamaduni sasa hapa najaribu kufikiria je matokeo haya mabaya ya Form 4 (kabla ya kurekebishwa) yanaweza kuwa yamesababishwa na Wanafunzi wengi kutumia muda mwingi Facebook kwa mambo ambayo hayaendani na Masomo?
Hii ni tittle kabisa kwa research
 
Mm mpaka leo h sijawah kuwa na akaunt ya FB wala instagram n.k

Na mpaka sasa nna JF na twitter tuu lkn shulen nilikuwa fala tuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom