Je enyi wadada wa kibongo mwaweza hii!!

Je enyi wadada wa kibongo mwaweza hii!!

NITIKE NDOSI

Senior Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
153
Reaction score
86
[h=3]JAMAA AFUNGISHWA NDOA YA WAKE WATATU[/h]



Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao.

FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu.
Mtu huyo ambaye anatumia jina la mwanamuziki aliyevuma zamani wa Nigeria, hayati Fela Anikulapo Kuti, amefunga ndoa hiyo kufuatia mchungaji wa kanisa lake nchini humo kuwaambia waumini wake kwamba wanaweza kuoa wanawake wengi, jambo ambalo limeleta mkanganyiko mkubwa kwa waumini wa madhehebu ya Kikristo barani Afrika.
Ndoa hiyo ilifungwa kama kawaida, ambapo watu hao wanne waliapa kuwa mume na wake zake, wakishuhudiwa na watu kibao huku kiongozi aliyeifungisha ndoa hiyo akinukuu vifungu vya Biblia ambavyo hutumiwa na Wakristo wote.


 
Ukiwa tu na hela, hata kama hauna kifanyio, utawapata.

Huyo jamaa huenda anamachimbo ya madini au ni mfanyabiashara tu mkubwa.
 
kajitahidi kubalansisha.... mwembamba, size ya kati, bonge....
hapo nje watamsikia kwa jirani tu
Unaweza kuwa sawa...!!
lakini ebu ngoja tuangalie faida na hasara kwa pande zote mume na wakeze

Je hakuna uwezekano wa kugegedewa na wajanja hako kazuri zuri!
 
mbona wote kama aina moja tu! hakuna cheupe hyakuna extra fat, hakuna black ya ukweli, hakuna twembamba twakutosha, sura za kawaida zote umri wote sawa, ndo maana wenzie tunachukua kwa awamu ukiwa umesha soma mapungufu! huyu bado haja solve tatizo tutagongana nae mtaa tu!
 
Nadhani hiyo Bible iliyotumika itakuwa of their own version...

Wala sio mpya kama unavyodhani ni kawaida tu..ndoa ya mke mmoja ni matunda ya kutekwa kwa imani ya kikristo na utamaduni wa wazungu kubana matumizi..unakumbuka ya Taurati na Zaburi si bible pia? Lakini mitume kama Suleiman, Daudi, Ayubu walikuwa na wake zaidi ya mmoja lakini hakukua na sheria za sasa za uzunguni katika agano jipya..nampa pongezi huyo bwana kwa kutukuza AGANO...
 
kajitahidi kubalansisha.... mwembamba, size ya kati, bonge....
hapo nje watamsikia kwa jirani tu

kasoro rangi tu ndio kachemsha kwani wote hao ni ma black angechanganya na ka white kidogo ingekuwa poa zaidi
 
Mi mwenyewe nimeipenda,nitajitahidi nimuenzi huyu jamaa
Wala sio mpya kama unavyodhani ni kawaida tu..ndoa ya mke mmoja ni matunda ya kutekwa kwa imani ya kikristo na utamaduni wa wazungu kubana matumizi..unakumbuka ya Taurati na Zaburi si bible pia? Lakini mitume kama Suleiman, Daudi, Ayubu walikuwa na wake zaidi ya mmoja lakini hakukua na sheria za sasa za uzunguni katika agano jipya..nampa pongezi huyo bwana kwa kutukuza AGANO...
 
Duh! Hii kali, lkn ni siku za mwisho wanatimiza maandiko kwb neno la Mungu litapinduliwa.
 
Duh! Hii kali, lkn ni siku za mwisho wanatimiza maandiko kwb neno la Mungu litapinduliwa.
Sio neno la Mungu bhana Everlenk bali la Wazungu wa Agano jipya!! Mambo wameyafanya mitume wa zamani hayo..wanaendeleza utamaduni wa kweli wa Kiimani!!
 
mbona wote kama aina moja tu!
hakuna cheupe hyakuna extra fat, hakuna black ya ukweli, hakuna
twembamba twakutosha, sura za kawaida zote umri wote sawa, ndo maana
wenzie tunachukua kwa awamu ukiwa umesha soma mapungufu! huyu bado haja
solve tatizo tutagongana nae mtaa tu!

Kumbe unaendaga mtaa eeh!
 
Mi mwenyewe nimeipenda,nitajitahidi nimuenzi huyu jamaa
Si mpango wa Mungu bali ni tamaa za mwanadamu tu ndo maana Mungu akawaacha waende kwa kufuata tamaa zao za mwili,ukitaka kujua si mpango wa Mungu ndio maana Mungu alimuumba mwanamme mmoja na mwanamke mmoja akawabariki wakazae waijaze dunia na kuthibitisha hilo wakati wa Nuhu alimwambia kwmb aingie yy na familia yake na aingize kila kiumbe cha kiume na kike tu yaan viwili viwili tu,Na Yesu akaja akathibitisha hilo ktk agano jipya kmwb kila mtu mme na awe na mke wake mwenyewe na alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe mpka kifo,na waweza achana kwasababu ya uzinzi tu ndo waweza oa au olewa lkn si vinginevyo.
 
Namuombea sana binti angu Beata yani wanaume jamani, comment zenu zinanivunja mifupa. Namuombea ampate mwenye unafuu!
 
Back
Top Bottom