Je enyi wadada wa kibongo mwaweza hii!!

Je enyi wadada wa kibongo mwaweza hii!!

Last edited by a moderator:
we Mentor sijui mento naona unanitaka kila siku huachi huachi kunichimba siku nikukamata utanikoma

Wewe na Paloma ndo imewatachi zaidi..mnalo!

Alafu unajua nakutafutia nini...SAUTI mama...dat voice!!! daaaaamn...
 
Last edited by a moderator:
kasoro rangi tu ndio kachemsha kwani wote hao ni ma black angechanganya na ka white kidogo ingekuwa poa zaidi

Nyie ndio wajichubuao.
Ndio maana race zingine zinadharau waafrika wasiojipenda rangi yao halisia.
Na ndio maana dada zetu wanakimbilia kuolewa na wazungu sababu watu kama nyie mna inferiority complex na weusi wenu.
 
JAMAA AFUNGISHWA NDOA YA WAKE WATATU





Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao.

FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu.
Mtu huyo ambaye anatumia jina la mwanamuziki aliyevuma zamani wa Nigeria, hayati Fela Anikulapo Kuti, amefunga ndoa hiyo kufuatia mchungaji wa kanisa lake nchini humo kuwaambia waumini wake kwamba wanaweza kuoa wanawake wengi, jambo ambalo limeleta mkanganyiko mkubwa kwa waumini wa madhehebu ya Kikristo barani Afrika.
Ndoa hiyo ilifungwa kama kawaida, ambapo watu hao wanne waliapa kuwa mume na wake zake, wakishuhudiwa na watu kibao huku kiongozi aliyeifungisha ndoa hiyo akinukuu vifungu vya Biblia ambavyo hutumiwa na Wakristo wote.


​
c.c Mwana Kwetu
 
Last edited by a moderator:
Iyo poa sn, iruhusiwe na hapa bongo naamina nyumba ndogo kwa wakristo ztapungua.
 
kajitahidi kubalansisha.... mwembamba, size ya kati, bonge....
hapo nje watamsikia kwa jirani tu

Mpe (miezi 60) miaka mitano, utaona kama hao wanawake watakuwa na furaha tena,
yeye mwenyewe hatafurahia kuwanao tena!
 
Pamoja na mbwembwe zote hizo hapo kuna kila dalili kuwa bwana Kuti atake asitake hatokosa wasaidizi wa ku fulfill majukumu yake ya ndoa (amri ya sita) hivyo atajikuta akiishi na akina "Wake Jina:-)"
 
Back
Top Bottom