Sijui.Kila mtu na anachoamini, wengine hatuvutiwi sana na weupe kama tuonavyo pelekwa puta na rangi ya maji ya kunde.weusi ni dawa tu lakini mwenzangu weupe unalipa....
wapi kalorite na maji ya ndimu, lol!
Sijui.Kila mtu na anachoamini, wengine hatuvutiwi sana na weupe kama tuonavyo pelekwa puta na rangi ya maji ya kunde.weusi ni dawa tu lakini mwenzangu weupe unalipa....
wapi kalorite na maji ya ndimu, lol!
ha haaa, wewe tu na macho yako.......Sijui.Kila mtu na anachoamini, wengine hatuvutiwi sana na weupe kama tuonavyo pelekwa puta na rangi ya maji ya kunde.
Mkorogo!!!!!!!!!!!!!!, usisahau kuweka jik na white cement.ha haaa, wewe tu na macho yako.......
ngoja niendelee na mkorogo wangu, lol!
kingine!Mkorogo!!!!!!!!!!!!!!, usisahau kuweka jik na white cement.
But we know your other ID...!
Sasa kama ulimaanisha ile si ungetaja yenyewe? Na hata hivo usha ona ile ID inajihusisha na vya JF couples, kama sio watu kujigonga?
kumbe una id nyingine?ni ipi hyo?
Nadhani hiyo Bible iliyotumika itakuwa of their own version...
karibu MMU
Hii hakuna Mwanamke hata mmoja nchini Tanzania atakaye kubali ndoa ya namna hii ni ya kipekee anastahili hongera Anikulapo kuti.@Edmark[URL="http://www.edmarker.com/" said:Edmark[/URL];6164800]JAMAA AFUNGISHWA NDOA YA WAKE WATATU
![]()
Anikulapo Kuti akiwa na wake zake watatu wakati wa ndoa yao.
FELA Anikulapo Kuti, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ametoa mpya kwa walimwengu kwa kufunga ndoa na wanawake watatu.
Mtu huyo ambaye anatumia jina la mwanamuziki aliyevuma zamani wa Nigeria, hayati Fela Anikulapo Kuti, amefunga ndoa hiyo kufuatia mchungaji wa kanisa lake nchini humo kuwaambia waumini wake kwamba wanaweza kuoa wanawake wengi, jambo ambalo limeleta mkanganyiko mkubwa kwa waumini wa madhehebu ya Kikristo barani Afrika.
Ndoa hiyo ilifungwa kama kawaida, ambapo watu hao wanne waliapa kuwa mume na wake zake, wakishuhudiwa na watu kibao huku kiongozi aliyeifungisha ndoa hiyo akinukuu vifungu vya Biblia ambavyo hutumiwa na Wakristo wote.